SIMBA KUWABATIZA KWA MOTO MBEYA CITY LEO
UKIACHANA na tambo za Simba kwamba leo wataibatiza Mbeya City kwa moto Dar, takwimu tu zinawapa ushindi.
WANASWA WAKIZAMIA NCHINI UFARANSA WAKIWA NDANI YA LORI
Polisi nchini Ufaransa imegundua uwepo wa wahamiaji 31 waliokuwa nyuma ya lori ikiwa ni pamoja na watoto ambao hawakuwa na mzazi ama ml...
MTIHANI WA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2019 KUANZA KESHO
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde amesema jumla watahiniwa 485,866 wamesajiliwa kufanya mtiha...
WANAJESHI 49 WAUAWA KASKAZINI MWA MALI
Waziri wa mawasiliano wa nchi hiyo, Yahya Sangare amesema shambulio hilo la kushtukiza dhidi ya jeshi limetokea katika eneo la Indeli...
JAFO AWANYOSHEA KIDOLE WANASIASA KAULI ZA UTATA
Ikiwa imesalia siku moja kabla ya kuhitimishwa kwa zoezi la wagombea kuchukua na kurejesha fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika uch...
HALMASHAURI MJI WA IFAKARA, WILAYA YA KILOMBERO KUFANYIWA MABADILIKO
Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza Halmashauri ya mji wa Ifakara kuongezewa kata na halmashauri ya Wilaya ya Kilombero kubadil...
RAIS MAGUFULI AMTEUA KICHERE KUWA CAG
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Novemba 3, 2019 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG...