Ilikuwa Februari 11, 2019 siku ya Jumapili, kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam, Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Ta...
AKAMATWA NA MIFUKO YA PLASTIKI YA SH. MIL 70
Baraza la Taifa la Uhifadhi wa Mazingira (NEMC), limekamata mifuko ya plastiki yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 70, iliyoku...
YALIYOJIRI KESI YA ALIYEMUUWA MKEWE NA KUMCHOMA
Kesi ya kuua na kisha kumchoma moto Mke wake kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, inayomkabili mfanyabiashara Khamis Said, leo Novemba...
KAMISHNA MPYA WA KAZI AAGIZWA KUSHUGHULIKIA VIBALI HEWA WIZARANI
Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemtaka Kamishna mpya wa Kazi, Kanali Francis Mbindi kushughulikia changamoto lukuki zinazoikabi...
VYAMA VYA USHIRIKA SINGIDA VYAHIMIZWA KUKABILIANA NA WADUDU
Katika jitihada za kukuza pato la mkulima Chama kikuu cha ushirika Mkoani Singida (SIFACU), kimetakiwa kuwasimamia kikamilifu wakuli...
MCHUNGAJI AKAMATWA NA PEMBE ZA NDOVU
Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu 22 kwa matukio tofauti ambapo watatu kati yao akiwemo mchungaji wa Kanisa la Angli...
RAIS MAGUFULI AWAPA SOMO LA HAKI MAJAJI ALIOWATEUA AKIWAAPISHA
Rais John Magufuli wa Tanzania, Leo Jumatatu Novemba 4, 2019 amewataka majaji 12 aliowateua kuhakikisha wanasimamia haki hasa za wany...
CAG ASSAD: NIMESAMEHE KILA KITU
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyemaliza muda wake, Profesa Mussa Assad amesema hafahamu na hakuwahi kufikiri...
JAFO: MUDA WA KUCHUKUA FOMU HAUTAONGEZWA ” MSIFUNGE OFISI”
Waziri wa TAMISEMI, Suleimani Jafo amesema kuwa serikali haitaongeza muda wa kuchua fomu, hivyo amewataka wananchi watumie vizuri mu...
TAARIFA KWA UMMA TOKA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS)
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatoa wito kwa umma kuchukua tahadhari na matumizi ya moto kwenye maeneo yanayokaribiana na mi...
ANTONIO NUGAZ ”UZURI HAZIKUFIKA BAO 5 KAMA MAJIRANI ZETU, MRUDI TUUPAMBANIE UBINGWA WA LIGI”
Msemaji na Afisa Muhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa ule msemo wa kila mtu ashinde nyumbani kwake unamaana ku...
TIGO YATANGAZA KUUNGANA RASMI NA ZANTEL
Dar es Salaam. Novemba 4, 2019. Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na ...
NDUGAI AFUNGUKA CAG KICHERE ANAVYOTEGEMEWA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameeleza jinsi CAG mpya Charles Kichere anavyotegemewa kufanya kazi na ...
MAAGIZO MATATU MAKUBWA YA JPM KWA CAG KICHERE
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemuapisha Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere, leo Novemba 4 Ikulu Jijini Dar ...
MANARA ATAJA ‘POINT’ WANAZOTAKA KWENYE LIGI KUU
Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa afisa habari wake, Haji Manara, umesema kuwa malengo yao msimu huu ni kufikisha alama 100 katik...
HAWA NDIYO VIONGOZI WANAOAPISHWA NA RAIS MAGUFULI LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 anawaapisha viongozi mbalimbali aliowateu...
CARLIFONIA: MOTO WAUNGUZA ZAIDI YA EKARI 100000, TRUMP AMCHARUKIA GAVANA WA JIMBO HUSIKA – VIDEO
Rais wa Mamerika, Donald Trump ametishia kupunguza fedha za ufadhili kwa gavana wa jimbo la Carlifonia kutokana na milipuko ya moto u...
RAIS DKT. MAGUFULI ATEUA VIONGOZI MBALIMBALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Viongozi wa Nafasi mbalimbali.
CWT YAHIMIZA UADILIFU MITIHANI KIDATO CHA NNE
Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwl. Deus Seif amewataka Walimu nchini kuendelea kuwa waadilifu ikiwemo kujiepusha na...
WADANGANYIFU MITIHANI KIDATO CHA NNE WAONYWA
Naibu Waziri wa nchi ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amewaonya Walimu, Wazazi na Wanaf...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 04 NOVEMBA, 2019
Unai Emery amepewa mwezi mmoja kuokoa kazi yake kama mkufunzi wa Arsenal. (Mirror)
BEKI WA SIMBA SC SHOMARI KAPOMBE ATANGAZA KUSTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA | TAIFA STARS
Beki wa Club ya Simba SC Shomari Kapombe ameamua kutangaza rasmi kuwa ameandika barua ya kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Tanzania T...
NACTE YATANGAZA AWAMU YA NNE YA UDAHILI KATIKA NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWENYE VYUO NA TAASISI MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linautangazia umma kwamba limefungua dirisha la udahili kwa AWAMU YA NNE na ya mwisho, kwenye ...
WAARABU WA MISRI WAIBANA MBAVU YANGA, YATOLEWA RASMI KOMBE LA SHIRIKISHO
Kikosi cha Yanga jana kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezw...