Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Rais wa China Xi Jinping wametoa taarifa ya pamoja inayosisitiza uungwaji wao mkono wa Makubalian...
POLISI WAFANIKIWA KUMUA JAMBAZI ‘KAMBALE’
Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam, wamefanikiwa kumuua jambazi maarufu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu anayejulikana kwa jina...
SEKTA YA NGOZI, NYAMA NA MAZIWA ZAUNDIWA KOZI FUPI VYUONI
Serikali imewataka wadau kwenye sekta ya ngozi, nyama na maziwa wanaoandaa mitaala kwa ajili ya vyuo kufundisha kozi fupi katika sekta ...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WALENGWA WA TASAF KULAZIMISHWA KUCHANGIA BIMA ZA AFYA NA MICHANGO YA KIJAMII
Serikali imewaagiza Viongozi wa Vijiji kutowalazimisha walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kukatwa ruzuku kwa ajili ya kuchangi...
SERIKALI YASEMA HAITAINGILIA KUPANGA BEI MSIMU UJAO WA PAMBA
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuelekea msimu ujao wa pamba serikali itajitahidi kupunguza gharama na kwamba haitaingili...
WAZIRI WA NISHATI, MEDARD KALEMANI ATOA ONYO KWA MAMENEJA NA WAKANDARASI WANAOTOZA WANANCHI GHARAMA YA NGUZO ZA UMEME
Waziri wa Nishati, Medard Kalemani ametoa onyo kwa mameneja na wakandarasi wanaotoza nguzo za umeme wananchi na kuwataka waachane na ta...
AUWSA YATAKIWA KUHARAKISHA HUDUMA YA MAJI NAMANGA
Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA) imetakiwa kuharakisha zoezi la tathmini ya kupeleka huduma ya maji katika Mji wa Namanga ili kusaidia ...
WANASIASA WANAOTAKA MAJINA YAO KWENYE VIBAO VYA MITAA WAKWAMISHA MIPANGO SINGIDA
Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ametaka mpango wa kuweka mabango ya anwani za makazi na postikodi katika mkoa huo ufuate ...
HATIMA YA IDRIS KUJULIKANA LEO
MCHEKESHAJI na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan leo anatarajiwa kuripoti katika Kituo cha Polisi Kati kujua hat...
MBATIA: WAGOMBEA WOTE WA NCCR JIMBO LA VUNJO WAMEENGULIWA
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema wanachama wa chama hicho waliochukua fomu kugombea uchaguzi wa Serikali za...
WANAWAKE 102 KUPATIWA MAFUNZO YA UDEREVA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akifungua mafunzo ya udereva kwa wanawake 102 yanayofanyika katika Ch...
MATESO KWA MTOTO, YAFANYA WAZAZI KUREJESHA MAHARI
Mtendaji wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye...
MSANII NICKI MINAJ ATANGAZA KUSTAAFU MUZIKI
Msanii wa Rap kutokea nchini Marekani, Nicki Minaj anasema kwamba ameamua kustaafu muziki ili kuanzisha familia. Hata hivyo hajasema ...
MSANII WHOZU ASAINI MKATABA WA TSH. MILIONI 60
Msanii wa Bongo Fleva, Whozu amesaini mkataba na kampuni ya Too Much Money inayoongozwa na kaka yake Frank pamoja na Fred yenye ofisi...
RUBANI AFUKUZWA KAZI KISA HII PICHA YA MREMBO WA KICHINA
Rubani wa Air Guilin China amefungiwa maisha kurusha Ndege baada ya kuruhusu Abiria wa kike kuingia chumba cha Marubani na kupiga pic...
TAKUKURU MKOA WA DODOMA YAMNASA AFISA MTENDAJI KWA KOSA LA KUSHAWISHI KUPOKEA RUSHWA KUTOKA KWA MFUGAJI
Na.Faustine Gimu Galafoni, Dodoma. Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini [TAKUKURU] mkoa wa Dodoma inamshikilia Bw.David D...
MAKUBALIANO YAFIKIWA KATI YA SERIKALI NA WAASI WA YEMEN
Serikali ya Yemen inayotambulika kimataifa na wapiganaji wanaotaka kujitenga upande wa kusini wametia saini makubaliano ya kugawana mad...
MBWANA SAMATTA AVUNJA REKODI
Mshambuliaji kinara wa klabu bingwa ya Ubelgiji KRC Genk na nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta jana usiku ametimiza ndoto yake ya kuif...
KATIBU MKUU TAMISEMI ATAKA SHERIA, KANUNI NA MIONGOZO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WA MWAKA 2019 ZIFUATWE
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandisi Joseph Nyamhanga amewataka viongozi na wasimamizi wa Uchaguzi ...
DENI LA TAIFA LAFIKIA TSH. TRILIONI 52, SERIKALI YAELEZA SABABU
Serikali imesema hadi kufikia Agosti mwaka huu, Deni la Taifa lilifikia Tsh. Trilioni 52.303 kulinganishwa na Tsh. trilioni 49.283 ka...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 06 NOVEMBA, 2019
Red Bull Salzburg imeweka bei ya pauni milioni 86 kama dau la usajili kwa mshambuliaji Erling Braut Haaland, 16. (Tuttosport - in Ita...
MVUA HATARISHI KUNYESHA MIKOA MITANO
Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) imetoa utabiri wa hali ya hewa iliyouita ni Hatarishi kwa Siku Tano ikionesha mikoa itakayoathir...
MWANAFUNZI KIDATO CHA NNE AGOMA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA, “SIJAJIANDAA”
Mtahiniwa wa mtihani wa taifa kidato cha nne katika shule ya upili ya wasichana ya Ngata kaunti ya Nakuru amekataa kufanya mtihani k...