Leo November 7, 2019 Hukumu ya kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na wen...
MWENYEKITI AUAWA AKITATUA MGOGORO WA ARIDHI KITETO
Mwenyekiti wa Kamati ya Mazingira wilayani Kiteto mkoani Manyara, Engerusi Mikonde (59), ameuawa katika shambani akiwa kwenye harakat...
LIPUMBA AMUANGUKIA MAGUFULI
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam j...
WIZI WA KURA 2015 WAMFIKISHA MSIGWA KAMATI YA MAADILI
Uwepo wa madai ya kura kuibiwa kwenye uchaguzi Mkuu 2015, umepelekea Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa kutakiwa kufika m...
WATU WAPANGA FOLENI NYUMBANI KWA CHRIS BROWN KUNUNUA NGUO NA VIATU ALIVYOKWISHA VITUMIA – VIDEO
Mkali wa R&B Duniani Chris Brouwn alikuwa mnada wa uuzwaji bidhaa zake ambazo tayari ameshazitumia au kuzivaa hasa nguo na viat...
VUVUZELA, TOCHI KUWARUDISHA HIFADHINI WANYAMA WANAOVAMIA MAKAZI YA WATU HIFADHI YA MKOMAZI
Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi Abeli Mtui akizungumza na waandishi ofisini kwake (hawapo pichani) walio...
SHIBOUB AITWA SUDAN, KAGERE ADAI KUKOSA RAHA
Mchezaji wa Simba, Sharaf Shiboub ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Sudan.
MIKOA INAYOONGOZA KWA BANGI YATAJWA NA SERIKALI
Serikali imesema licha ya kufanikiwa katika jitihada kubwa kwenye mapambano ya dawa za kulevya, bangi bado ni tatizo kubwa hasa katik...
NDEGE YA KQ YALAZIMISHWA KURUDI AFRIKA KUSINI BAADA YA KUMSAHAU FUNDI NDANI
Ndege ya Boeing 787 inayomilikiwa na Kampuni ya Ndege ya Kenya (KQ) imelazimika kurudi jijini Johannesburg, Afrika Kusini baada kubani ...
KAMATI KUU CHADEMA KUKUTANA KWA DHARURA LEO ALHAMISI NOVEMBER 7
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu leo Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhu...