Rais wa zamani wa TFF, Jamal Malinzi Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limemfungia kwa miaka kumi (10) aliyekuwa Rais wa Shirik...
WIZARA YAJA NA DAWA YA WANAOPIGA PESA ZA SERIKALI
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James. Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Dotto James, ameziagiza taasisi za m...
TAKWIMU ZA MFUMUKO WA BEI ZATOLEWA
Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya watu Ofisi ya Taifa ya Kwimu (NBS), Bibi. Ruth Minja, Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha ...
YANGA YATANGAZA MTENDAJI MKUU MPYA
Klabu ya soka ya Yanga leo Novemba 11, 2019, imetangaza uteuzi wa Katibu Mkuu mpya, ambaye anakuwa mtendaji mkuu wa klabu hiyo.
ESHA BUHETI AMPAKA MBOVU YUSUPH MLELA
Muigizaji na mjasiriamali Esha Buheti, ameonekana kuchukizwa na kitendo alichokifanya Yusuph Mlela kwa kumsaliti Ebitoke na kumuonesh...
SINTOFAHAMU YA ZFF NA TFF ILIPOFIKIA HIVI SASA
Shirikisho la Soka Visiwani Zanzibar ZFF na Shirikisho la Soka Tanzania TFF zimekuwa katika mzozo katika siku za hivi karibuni kutokana...
USIYOYAJUA JUU YA MAISHA YA MENDE ‘ANAWEZA KUISHI BILA KICHWA’
Mende ni mdudu anayeweza kuishi zaidi ya mwezi bila ya kula chakula chochote kutokana na kuwa ni mdudu mwenye damu ya baridi.
BARUA NZITO, ALIYEJINYONGA TARIME “MSIWAAMINI WAGAGNGA FANYENI KAZI HALALI”
Mkazi wa Kijiji cha Kowak, Wilayani Rorya mkoani Mara, Juma Olemo, amekutwa amejinyonga hadi kufa katika Nyumba ya kulala wageni ya S...
MUME WA SHAMIMU AJISALIMISHA KWA DPP
Mfanyabiashara, Abdul Nsembo maarufu Abdulkandida (45) ameandika barua ya kukiri kosa lake na kuomba msamaha kwa Mkurugenzi wa Mashtaka...
SERIKALI YA TANZANIA YATOA NENO BEI YA MAHINDI
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akijibu swali leo bungeni jijini Dodoma Serikali ya Tanzania imesema licha ya bei ya mahindi ...
HALIMA MDEE ATINGA BUNGENI, SPIKA NDUGAI ATOA ONYO
Mbunge wa Kawe Halima Mdee (Chadema) akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo Mbunge wa Kawe (Chadema) nchini Tanzania, Halima Mdee...
OFISI NYINGINE YA SERIKALI YACHOMWA MOTO MOROGORO
Watu wasiojulikana, wameichoma moto Ofisi ya Kijiji Cha Mlali kilichopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro nchini Tanzania usiku wa k...
WATU WASIOJULIKANA WACHOMA MOTO OFISI YA MTENDAJI WA KATA YA SOWETO KATIKA MANISPAA YA MOSHI
Watu wasiojulikana wamechoma moto ofisi ya Serikali ya mtendaji wa kata ya Soweto katika Manispaa ya Moshi.
DC SAME ATANGAZA VITA NA MAJANGILI WANAOUA WANYAMA KWENYE HIFADHI
MKUU wa wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Rosemary Sitaki ametangaza vita mpya na majangili wanaoingia kwenye hifadhi na kuua wanyama k...
MIKOPO YA ELIMU YA JUU YAFIKIA SH. BILIONI 162.8, NI KWA WANAFUNZI 46,838 WA MWAKA WA KWANZA KWA MWAKA 2019/2020
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia Novemba 3, mwaka huu, Serikali imekwishatoa mikopo ya sh. bilioni 162.8 kwa wanafunzi...
KACU YAISOGEZA PETROBENA KAHAMA, SASA KUANZA KUNUNUA TUMBAKU KATIKA CHAMA CHA MSINGI NGOKOLO
Katika jitihada za kuhakikisha wakulima wa zao la Tumbaku katika msimu wa mwaka 2019/20 wanapata wanunuzi, Chama kikuu cha Ushirika Kah...
CCM NAO KUTOA TAMKO KESHO KUTWA KUHUSU UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema chama hicho kwa sasa kinaendelea kufuatilia muenend...
CHADEMA WAITAKA SERIKALI KUTOTUMIA JINA NA NEMBO YA CHAMA CHAO KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetaka Serikali kutotumia nembo na jina la chama hicho kwenye karatasi za kupigia kura k...
WAZIRI JAFO ATENGUA MAAMUZI YOTE, KAAGIZA WAGOMBEA WOTE WALIONGELIWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WARUDISHWE
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili...
VILIO NA HUZUNI VYATAWALA TENA MGODI WA IMALANGUZA GEITA
Majonzi na huzuni vimetawala kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo wa Imalanguza wilaya ya Geita kata ya Lwamgasa katika Kijiji cha Imalang...
TANGAZO LA KUWAREJESHA WAGOMBEA WASIO NA MAKOSA YA KIKANUNI KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019
Zoezi la Uchukuaji fomu, Urudishaji fomu, Uteuzi, Pingamizi na Rufaa lilianza tarehe 29/10/2019 na kumalizika tarehe 9/11/2019.