Upande wa utetezi katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, umeulalamikia upande wa Jamhuri kuchelewesha upe...
Divine Radio Live
PREZZO KAONGEA BAADA YA TAARIFA YAKE YA KUBAKWA NA WASICHANA WATATU
Rapper Prezzo kutokea +254 Kenya amezungumza baada ya kusambaa kwa taarifa kuhusu yeye kulazwa hospital kutokana na kubakwa na was...
WAFADHILI MIRADI YA TAFITI ZA SAYANSI WAKUMBUSHWA KUFUATA VIPAUMBELE VYA NCHI KWANZA
Wafadhili wa Miradi ya tafiti za Sayansi kutoka nje ya nchi wametakiwa kufuata vipaumbele vya nchi husika kwanza ili kuwa na matokeo ch...
MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA MBOLEA NCHINI (TFC) ASIMAMISHWA KAZI
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema Serikali imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini (TFC), pamoja na ...
WATU SITA WAUAWA WILAYANI TANDAHIMBA
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai DCI Robert Boaz (aliyevaa kiraia) na Kamishna wa operesheni na mafunzo CP Leberatus sabas waki...
LUGOLA ASEMA LAINI ZISIZOSAJILIWA HAZITAZIMWA
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amesema laini za simu ambazo hazitajasiliwa hadi kufikia Desemba 31, 2019 hazita...
SEKTA YA USHIRIKA YATAJWA KUWA FURSA KUFIKIA UCHUMI WA KATI
Sekta ya Ushirika imetajwa kuwa moja ya maeneo muhimu ambayo yana fursa kubwa katika kushiriki na kuendeleza Uchumi wa Tanzania kupit...
VIDEO: POLISI WANNE KENYA WASIMAMISHWA KAZI KWA KUMPIGA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA JOMO KENYTTA
Jeshi la Polisi nchini Kenya limewasimamisha kazi Askari wanne walionaswa kwenye mkanda wa video wakimpiga Mwanafunzi wa Chuo Kikuu...
VIDEO: KLABU YA CHELSEA IMEVUJISHA TAARIFA ZIKIONYESHA KIASI INAVYOWALIPISHA WACHEZAJI WAO KWA UTOVU WA NIDHAMU
Orodha ya adhabu za mchezaji wa ndani kwa msimu huu zimevuja, zikionyesha jinsi wachezaji wanavyopigwa faini ya pauni 20,000 ikiwa wa...
WANAOAMBUKIZWA UKIMWI KWA MAKUSUDI KULIPWA FIDIA
Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya udhibiti wa Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI, ambapo pamoja na mambo mengine imeipa mahakam...
SENETA WA UPINZANI AJITANGAZA KUWA RAIS BOLIVIA
Seneta wa chama cha upinzani nchini Bolivia, Jeanine Áñez amejitangaza kuwa Rais wa taifa hilo kufuatia hatua ya kujiuzulu kwa aliyeku...
MTENDAJI MKUU TFC ASIMAMISHWA KAZI, “WARUDISHE BILIONI 4.5”
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe , amesema Serikali imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mbolea nchini (TFC), pamoja ...
WAZIRI LUKUVI AFUNGUA MKUTANO WA MATUMIZI BORA YA RASILIMALI ARDHI NA UHIFADHI WA MANDHARI ZA AFRIKA, ARUSHA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi, amefungua Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi bora ya rasilimali...
WANANCHI ITUMBO WAOMBA UJENZI WA ZAHANATI UKAMILIKE KUZUIA VIFO VYA AKINA MAMA WAJAWAZITO USHETU
Wakazi wa kijiji cha Itumbo kata ya Kisuke wameiomba Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kukamilisha ujenzi wa jengo la zahanati ya ...
WAKANDARASI REA WALALAMIKIWA KUWATOZA WANANCHI FEDHA ZA NGUZO NA MITA USHETU
Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga limeagiza kuchukuliwa hatua za kisheria kwa baadhi ya wakandarasi wana...
TRA YAKABIDHI VYETI VYA UTAMBULISHO WA MLIPA KODI WILAYANI KIBITI MKOA WA PWANI
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wafanyabiashara kujisajili na kupata namba ya utambulisho wa Mlipakodi (TIN) kwa kuwa inato...
EVANS AVEVA, KABURU, HANS POPE KUANZA KUJITETEA NOVEMBA 20
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema vigogo wa Klabu ya Simba akiwamo Rais wa zamani, Evans Aveva na wenzake ...