} });
 
WAKULIMA WA ZAO LA VIAZI MAKETE WALILIA SOKO LA PAMOJA
WAKULIMA WA ZAO LA VIAZI MAKETE WALILIA SOKO LA PAMOJA

Wakulima wa zao la viazi mviringo kijiji cha Lupila wilayani Makete mkoani Njombe wameiomba serikali kujenga masoko ya pamoja ya zao ...

Read more » Soma zaidi »

TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA LAMTISHA MKAPA
TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA LAMTISHA MKAPA

Serikali ya Awamu ya Tano iko kwenye mkakati mkubwa wa kuhakikisha uchumi wa nchi unategemea viwanda ifikapo mwaka 2025 na imeanza na...

Read more » Soma zaidi »

KARDINALI PENGO AWASHANGAA WANAOMWITA RAIS MAGUFULI DIKTETA
KARDINALI PENGO AWASHANGAA WANAOMWITA RAIS MAGUFULI DIKTETA

Polycarp Kardinali Pengo amewashangaa watu wanaomuita Rais wa Tanzania, John Magufuli dikteta na kueleza kuwa wanakosea.

Read more » Soma zaidi »

MAJALIWA AMTAKA BOSI TBA AJITATHIMINI, AWASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI WATATU
MAJALIWA AMTAKA BOSI TBA AJITATHIMINI, AWASIMAMISHA KAZI WAKURUGENZI WATATU

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Daud Kondoro ajitathmini kuhusu ...

Read more » Soma zaidi »

TAKUKURU YAMKAMATA MUWEKA HAZINA WA KIKUNDI
TAKUKURU YAMKAMATA MUWEKA HAZINA WA KIKUNDI

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia Muweka hazina wa kikundi cha ujasiriamali cha Imani kwa...

Read more » Soma zaidi »

WANAWAKE WAKIISLAMU KAGERA WAOMBA MSAADA UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA WATOTO
WANAWAKE WAKIISLAMU KAGERA WAOMBA MSAADA UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA WATOTO

Umoja wa wanawake wa kiislamu mkoani Kagera wawaomba wadau mbalimbali wa maendeleo kuwaunga mkono katika kumalizia ujenzi wa hospital...

Read more » Soma zaidi »

MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA KUCHAGULIWA DECEMBER 8
MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA KUCHAGULIWA DECEMBER 8

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)  Dkt. Vicent Mashinji  l eo November 18, 2019 ametangaza rasmi siku ya Uch...

Read more » Soma zaidi »

UNDANI WA PICHA YA MTOTO AKICHUNGULIA DARASANI NA SUFURIA MKONONI
UNDANI WA PICHA YA MTOTO AKICHUNGULIA DARASANI NA SUFURIA MKONONI

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Divya iliyoibuka kuwa gumzo inayomuonyesha akiwa ameshikilia sufuria mkononi huku akisikiliza kwa mak...

Read more » Soma zaidi »

ACACIA KUONDOLEWA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM
ACACIA KUONDOLEWA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM

Kampuni ya Acacia inaondolewa katika orodha ya kampuni zilizopo kwenye soko la hisa la Dar es salaam (DSE) kuanzia leo, Novemba 18, 201...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO KWA TANESCO
WAZIRI KALEMANI ATOA MAAGIZO KWA TANESCO

Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani amewaagiza mameneja wa Shirika la Umeme nchini humo (Tanesco) katika mikoa yenye ...

Read more » Soma zaidi »

MUUGUZAJI WA MIAKA 35 ASIMULIA ADHA YA WAGONJWA WA AJALI NA WANAOLALA CHINI
MUUGUZAJI WA MIAKA 35 ASIMULIA ADHA YA WAGONJWA WA AJALI NA WANAOLALA CHINI

Haulat Amir akiwa kwenye majukumu yake ya kuhudumia wagonjwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili Kazi ya uuguzi ni wito. Ndivyo wen...

Read more » Soma zaidi »

MAKONDA AZUNGUMZIA ILANI YA CCM, AMTAJA MAGUFULI
MAKONDA AZUNGUMZIA ILANI YA CCM, AMTAJA MAGUFULI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kasi ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo inayofanywa na Rais wa Tanzania, John ...

Read more » Soma zaidi »

MCHUNGAJI MSIGWA, HECHE WAJISALIMISHA MAHAKAMANI
MCHUNGAJI MSIGWA, HECHE WAJISALIMISHA MAHAKAMANI

Baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuamuru wabunge wanne wa Chadema kukamatwa kwa kukiuka masharti ya dhamana, wawili wamejisal...

Read more » Soma zaidi »

OFFICIAL VIDEO: MNENE MAKWETA - JIACHIE
OFFICIAL VIDEO: MNENE MAKWETA - JIACHIE

Kutoka jijini Arusha katika kundi la Machalii wa Yesu  anaitwa Mnene Makweta  ametuletea video ya kazi yake nyingine mpya inakwenda kwa...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RC MAKONDA ANAZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI MUDA HUU
LIVE: RC MAKONDA ANAZUNGUMZA NA VIONGOZI WA DINI MUDA HUU

Leo November 18, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda anakutana na viongozi wa madhehebu mbalimbali na taasisi za dini ili k...

Read more » Soma zaidi »

MILIONI 254 ZAKAMILISHA MAKAZI YA FAMILIA SITA ZA ASKARI MKOANI TABORA
MILIONI 254 ZAKAMILISHA MAKAZI YA FAMILIA SITA ZA ASKARI MKOANI TABORA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC) Barnabas Mwakalukwa akitoa salama Jeshi hilo jana wakati wa uzinduzi wa nyumba mpya za makazi mapy...

Read more » Soma zaidi »

ONGEZEKO LA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA  TISHIO LA MAISHA
ONGEZEKO LA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA TISHIO LA MAISHA

Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Kitwala(katikati) akipima uzito jana wakati wa uzinduzi wa wiki ya maadhimisho ya Kampeni ya kupambana n...

Read more » Soma zaidi »

VYAMA VYA MSINGI KAGERA VYAPATA NEEMA KUTOKA BENKI YA TADB
VYAMA VYA MSINGI KAGERA VYAPATA NEEMA KUTOKA BENKI YA TADB

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imekabidhi Pikipiki mpya mbili Kwa vyama viwili vya msingi vya Ruicho na Nyakatuntu vya ...

Read more » Soma zaidi »

GENK INAMLIMPA MBAPPE MIL 30
GENK INAMLIMPA MBAPPE MIL 30

MSHAMBULIAJI kinda wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’ ameyaanza maisha mapya katika klabu ya KRC Genk huku akilipwa zaidi ya milioni 3...

Read more » Soma zaidi »

KOCHA MPYA YANGA ANATAKA MSHAHARA WA AUSSEMS
KOCHA MPYA YANGA ANATAKA MSHAHARA WA AUSSEMS

Raoul Shungu KOCHA mwenye heshima kubwa nchini DR Congo na ukanda wa Cecafa, Raoul Shungu amethibitisha kwamba Yanga wamempigia lak...

Read more » Soma zaidi »

LUGOLA ATOA ONYO KWA WATAKAOFANYA VURUGU UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
LUGOLA ATOA ONYO KWA WATAKAOFANYA VURUGU UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka Makamanda wa Polisi nchini kusimamia kampeni zilizoanza za Uchaguzi wa Serikal...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI MPINA AZINDUA AGENDA ZA UTAFITI NA KUIBUA TAFITI ZILIZOFICHWA MAKABATINI
WAZIRI MPINA AZINDUA AGENDA ZA UTAFITI NA KUIBUA TAFITI ZILIZOFICHWA MAKABATINI

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amezindua Agenda ya Kitaifa ya Utafiti wa Mifugo, Uvuvi na Ukuzaji wa Viumbe Maji ya mwaka 2020...

Read more » Soma zaidi »

MAREKANI, KOREA KUSINI KUSITISHA MAZOEZI YA KIJESHI
MAREKANI, KOREA KUSINI KUSITISHA MAZOEZI YA KIJESHI

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Mark Esper amesema kwamba wamesitisha kwa muda usiojulikana mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini k...

Read more » Soma zaidi »

MGOMBEA PEKEE ACT-WAZALENDO ACHUANA NA CCM, ZITTO AITWA AKAMSAIDIE
MGOMBEA PEKEE ACT-WAZALENDO ACHUANA NA CCM, ZITTO AITWA AKAMSAIDIE

Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Karikacha Moshi Manispaa mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania kwa tiketi ya ACT...

Read more » Soma zaidi »

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 18 NOVEMBA, 2019
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 18 NOVEMBA, 2019

Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amepewa mwezi mmoja kunusuru kazi yake. (Sun)

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 18 NOVEMBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 18 NOVEMBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top