Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinatarajiwa kumtunikia Rais John Magufuli Shahada ya Heshima ya Daktari wa Falsafa kutokana na uongozi...
TUNDA AMLIPUA TENA EX WAKE
Tunda Mrembo na Video Vixen Cappuccino Tunda, ameweka wazi ujumbe ambao huwa anatumiwa na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Casto Dic...
BODI YA WAKURUGENZI SIMBA YAMTEUA MWINA KADUGUDA
Moja ya vikao vya Bodi ya Wakurugenzi wa Simba Klabu ya soka ya Simba imemteua Mwina Kaduguda kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu. Ka...
MAGUFULI ATAJA SABABU KUMTUMBUA DK. KEBWE
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano Novemba 20, 2019 ametaja sababu za kutengua uteuzi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro...
MAKUSANYO KODI YA ARDHI GAIRO HAYAMFURAHISHI NAIBU WAZIRI MABULA
Kasi ndogo ya ukusanyaji mapato ya Kodi ya pango la ardhi katika halmashauri ya wilaya ya Gairo mkoa wa Morogoro imemsononesha Naibu Wa...
WABUNGE WANNE WALIOKUWA POLISI WAACHIWA NA MAHAKAMA
Wabunge wanne wa CHADEMA waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya mahakama wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ...
ALICHOKISEMA LEMA BAADA YA MEYA WA CHADEMA ARUSHA KUTIMKIA CCM
Baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Ndg. Humphrey Polepo...
KAIMU MKURUGENZI MKUU REA ATOA ANGALIZO KWA WAKANDARASI WA UMEME VIJIJINI
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Amos Maganga ameeleza kuwa wakandarasi wa umeme vijijini wanaosua...
BASTOLA YA USHAHIDI MAHAKAMANI YAMUUA MWENDESHA MASHTAKA
Gumzo linaloendelea hivi sasa ni kuhusu kifo cha Mwendesha Mashitaka wa Serikali, Afrika Kusini Addelaid Ferreira Watt (51).
RIDHIWANI KIKWETE AIPONGEZA SERIKALI KWENYE HILI
Mbunge wa Jimbo la Chalinze wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Jo...
RAIS MAGUFULI ATOA NENO KUPANDA KWA BEI YA MAHINDI
Rais John Magufuli ameongea na Wakazi wa Morogoro leo na kusisitiza kuwa katika kipindi chake cha uongozi hatopanga bei ya mkulima ku...
MABINTI WA DARASA LA NNE WAUZA POMBE ZA KIENYEJI
Shehe wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa ...
RC SHIGELLA: NCHI HAIWEZI KUJITEGEMEA KAMA WATANZANIA HAWATALIPA KODI
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati wa kikao cha kusikiliza kero za wafanyaabiashara wa Jiji la Tanga kilichofanyi...
AMNESTY: ZAIDI YA WAANDAMANAJI 100 WAMEUWAWA IRAN
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limesema zaidi ya watu 100 wameuwawa kwenye miji 21 nchini Iran wakati wa ...
RAIS MAGUFULI KUANZA ZIARA DODOMA KESHO
ZIARA YA KIKAZI YA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MKOANI DODOMA
AUSSEMS: NYIE TULIENI NAKUJA KUCHUKUA POINTI ZANGU
Kocha wa Simba Patrick Aussems PATRICK Aussems, kocha mkuu wa Simba ambaye kwa sasa yupo nchini Ubelgiji ametangaza hali ya hatari ...
UKAIDI WAMPONZA MGOMBEA ACT
Dar/Moro/Moshi. Wakati kampeni zikiendelea maeneo nchini mgombea pekee wa upinzani uenyekiti wa mtaa wa Karikacha manispaa ya Moshi k...
RAIS MAGUFULI ATOA NENO VITAMBULISHO VYA URAIA
Rais wa Tanzania, John Magufuli amemtaka mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dk Arnord Kihaule kufuatilia shug...
MWALIMU AMBAKA NA KUMLAWITI MWANANFUNZI WA DARASA LA TANO AKIMFUNDISHA MASOMO YA ZIADA, POLISI WATOA NENO – VIDEO
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mwanga, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zakaria Richard amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka...
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA, SHUHUDIA KESI YA MKE NA MUME MBELE YA RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea M...
UJENZI WA NJIA NNE DODOMA – MOROGORO WAIVA
Waziri wa Fedha na mipango Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) ili iweze kuipatia Tanzania ...
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA, ASIMAMA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea M...
TETESI ZA SOKA ULAYA TAREHE 20 NOVEMBA, 2019 (STERLING, MOURINHO, HAALAND, AGUERO)
Manchester City imeanza mazungumzo kuhusu mkataba mpya na mshambuliaji wa kimataifa wa England Raheem Sterling, 24. (Mirror)
BREAKING: HATIMAE JOSE MOURINHO APATA KAZI, ACHUKUA MIKOBA YA UKOCHA KWENYE KLABU HII KUBWA UINGEREZA
Aliyekuwa mkufunzi wa zamani wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho amakabidhiwa na kuchukua mikoba ya Muargentina Mauricio Pochettino b...
KENYA: MWANAMKE ASIMULIA ALIVYONUSURIKA KUUAWA NA MUME WAKE
Tahadhari… maelezo katika huenda ikawa na athari kwa baadhi ya wasomaji… Bi. Diana Wanjiku Kamande kutoka nchini Kenya ni mama ya...
RC KILIMANJARO AMTAKA MBUNGE WA SIHA KUACHA UCHONGANISHA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Anna Mghwira ametoa onyo kwa Mbunge wa Siha Dk Godwin Mollel, kuacha uchonganishi baina ya watumishi ...
KOCHA WA TOTTENHAM AFURUSHWA KAZI
Tottenham wamemfukuza kazi kocha mkuu Mauricio Pochettino baada ya miaka mitano White Hart Lane.
BUNGE, THBUB KUSHIRIKIANA USIMAMIZI HAKI NA UTAWALA BORA
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai amesema Bunge litashirikiana na Tume ya haki za binadamu na utawala bora...
TAKUKURU MKOA WA DODOMA YAWAKAMATA VIONGOZI WATATU CHAMA CHA USHIRIKA MATUMAINI SACCOS
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU]mkoa wa Dodoma inawashikilia watu watatu walio...
WABUNGE WANNE CHADEMA WARUDISHWA MAHABUSU, HATIMA YAO KUJULIKANA LEO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga leo Jumatano Novemba 20, 2019 kutoa uamuzi dhidi ya wabunge wanne wa Chadema waliokiuka mashar...
VIDEO: CHADEMA YAPATA PIGO, NI BAADA YA MEYA WA ARUSHA KALISTI LAZARO KUJIUNGA CCM
Wakati kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikiendelea nchini, aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro amejiunga na Chama ...
UTEUZI MPYA ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Buruhani Salum Nyenzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlak...