} });
 
HALI YA MWIMBAJI NEYI ZIMU YAZIDI KUWA MBAYA
HALI YA MWIMBAJI NEYI ZIMU YAZIDI KUWA MBAYA

Familia ya mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka afrika kusini na Mchungaji Neyi Zimu imeomba maombi kwa ajili ya mchungaji huyo baada ...

Read more » Soma zaidi »

TAARIFA MUHIMU KUTOKA MAKAO MAKUU YA POLISI
TAARIFA MUHIMU KUTOKA MAKAO MAKUU YA POLISI

Napenda kuchukua fursa hii kwanza kuwajulisha kwamba Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Nchini yamehamia rasmi Makao Makuu ya Nchi yaliyo...

Read more » Soma zaidi »

CCM TABORA YAJIGAMBA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 'HADI SASA TUMESHASHINDA'
CCM TABORA YAJIGAMBA USHINDI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 'HADI SASA TUMESHASHINDA'

Asilimia 95 ya wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Tabora, wamepita bila kupingwa baada...

Read more » Soma zaidi »

KIJANA WA MIAKA 19 JELA MAISHA KWA KUMBAKA MTOTO
KIJANA WA MIAKA 19 JELA MAISHA KWA KUMBAKA MTOTO

Mahakama ya Hakimu Mkazi Serengeti mkoani Mara, imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Parknyigoti, Machaba Makoro (19) kifungo cha maisha j...

Read more » Soma zaidi »

WALIOPATA MAAFA SONGWE WAPIGWA JEKI
WALIOPATA MAAFA SONGWE WAPIGWA JEKI

Viongozi wa mgodi wa dhahabu wa Shanta unaojishughulisha na uchimbaji wa dhahabu wa wilayani Songwe mkoani Songwe wametoa msaada wa v...

Read more » Soma zaidi »

DAKTARI AKAMATWA CHOONI AKIDAIWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO KWA MJAMZITO
DAKTARI AKAMATWA CHOONI AKIDAIWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO KWA MJAMZITO

Mamlaka ya kuzuia rushwa na uhujumu uchumi Zanzibar (ZAECA ) inamshikilia, Dk Massoud Suleiman Abdalla wa Hospitali ya Chakechake kwa...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AWAPA WIKI MOJA MABALOZI WAPYA KUONDOKA TANZANIA
RAIS MAGUFULI AWAPA WIKI MOJA MABALOZI WAPYA KUONDOKA TANZANIA

Rais wa Tanzania, John Magufuli amewapa wiki moja mabalozi watano aliowaapisha leo Jumamosi Novemba 23, 2019 kukamilisha taratibu za k...

Read more » Soma zaidi »

WAFAHAMU WATEULE WATANO WANAOAPISHWA LEO NA RAIS
WAFAHAMU WATEULE WATANO WANAOAPISHWA LEO NA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, leo Novemba 23, 2019, anatarajiwa kuwaapisha Mabalozi Wateule watano, shug...

Read more » Soma zaidi »

'MKOA HUU NI WA WAJANJA' - MAKONDA
'MKOA HUU NI WA WAJANJA' - MAKONDA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, k...

Read more » Soma zaidi »

ALIYEJIFANYA AFISA USALAMA WA TAIFA AKAMATWA MKOANI KAGERA
ALIYEJIFANYA AFISA USALAMA WA TAIFA AKAMATWA MKOANI KAGERA

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linamshikilia  Bw. Erasto Matembo  mwenye miaka 30 mkazi wa Kinondoni mkoani Dar Es Salaam kwa tuhuma za ...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMTAKA MBUGE KUWASWEKA RUMANDE WACHELEWESHA UJENZI
RAIS MAGUFULI AMTAKA MBUGE KUWASWEKA RUMANDE WACHELEWESHA UJENZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuharakisha ujenzi wa hospita...

Read more » Soma zaidi »

BRIGEDIA GAGUTI AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI NA MKUU WA SHULE KOHORORO
BRIGEDIA GAGUTI AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI NA MKUU WA SHULE KOHORORO

Brigedia Marco Elisha Gaguti amemuagiza RPC Revocatus Malimi kuwakamata Mkandarasi wa Manispaa ya Bukoba na Mkuu wa Shule ya Sekondar...

Read more » Soma zaidi »

BOMBARDIER Q400 YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA, PROFESA KABUDI AFUNGUKA
BOMBARDIER Q400 YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA, PROFESA KABUDI AFUNGUKA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q4...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMPA MAKAVU RPC MUROTO “NIKWAMBIE UKWELI, HUJANIFURAHISHA”
RAIS MAGUFULI AMPA MAKAVU RPC MUROTO “NIKWAMBIE UKWELI, HUJANIFURAHISHA”

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ijumaa hii ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za makazi ya Askari w...

Read more » Soma zaidi »

WAGOMBEA 1,851 WA VYAMA VYA UPINZANI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI RUKWA
WAGOMBEA 1,851 WA VYAMA VYA UPINZANI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MKOANI RUKWA

Wagombea wa vyama vya upinzani wapatao 1,851 kushiriki katika nafasi mbalimbali za uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika nchini t...

Read more » Soma zaidi »

HAFLA YA UAPISHO WA MABALOZI WATEULE IKULU CHAMWINO
HAFLA YA UAPISHO WA MABALOZI WATEULE IKULU CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 23 Novemba, 2019 awaapisha Mabalozi Wateule watakaoiwakili...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YASISITIZA HAIWEZI KUPANGA BEI ELEKEZI YA MCHELE AMA MAHINDI
SERIKALI YASISITIZA HAIWEZI KUPANGA BEI ELEKEZI YA MCHELE AMA MAHINDI

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) amesema kuwa serikali haiwezi kupanga bei elekezi ya mchele ama mahindi hivyo amewataka wakuli...

Read more » Soma zaidi »

MWAITEBELE : VIONGOZI WA UMMA MSIFANYE UBAGUZI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI
MWAITEBELE : VIONGOZI WA UMMA MSIFANYE UBAGUZI KATIKA UTOAJI WA HUDUMA KWA WANANCHI

Imebainika kuwa kukiukwa kwa nguzo saba za maadili kwa baadhi ya viongozi wa Umma katika maeneo yao ya kazi husababisha wananchi kukata...

Read more » Soma zaidi »

SPIKA NDUGAI ATOA NENO KWA MBUNGE ATAKAYE KATAA BAJETI YA SERIKALI
SPIKA NDUGAI ATOA NENO KWA MBUNGE ATAKAYE KATAA BAJETI YA SERIKALI

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema mbunge anayekataa bajeti ya Serikali bungeni ni mpuuzi.

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AZINDUA MSIMU WA KILIMO MWAKA 2019/2020
WAZIRI WA KILIMO MHE JAPHET HASUNGA AZINDUA MSIMU WA KILIMO MWAKA 2019/2020

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 22 Novemba 2019 amezindua msimu wa kilimo Kitaifa mwaka 2019/2020 ambapo amewataka waku...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 23 NOVEMBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 23 NOVEMBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top