Happiness Julias akiweka kemikali katika kifaa cha maabara katika shule ya sekondari Segese. Wasichana 91 kati ya wanafunzi 113 wa ja...
RADI YAUA WATATU RUKWA
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, Justine Matejo, amethibitisha kutokea kwa matukio mawili ya vifo ambavyo vimesababi...
MAREKANI YATAKA MAKAMPUNI YA MITANDAO YA KIJAMII KUZIFUTA AKAUNTI ZA VIONGOZI WA SERIKALI YA IRAN
Marekani imeyataka makampuni ya Facebook, Instagram na Twitter kuzifuta akaunti za viongozi wa serikali ya Iran hadi pale nchi hiyo itak...
JESHI LA POLISI LAMSAKA MKUFUNZI ALIYESABABISHA MAUAJI YA VIJANA WAWILI WALIOKUWA KWENYE MAFUNZO YA JESHI LA MGAMBO
Polisi Mkoani Singida wanamsaka Mkufunzi Msaidizi wa Jeshi la Akiba Said Ng'imba kwa tuhuma za mauaji ya Vijana wawili waliokuwa k...
SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA SH1.05 TRILIONI ZA GAWIO, MICHANGO
Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Philip Mpango amesema mapato ambayo yanatokana na gawio na michango ya kampuni, taasis...
MWAKINYO: MFILIPINO TINAMPAY NITAMCHAKAZA MAPEMA
Bondia Hassan Mwakinyo na Arnel Tinampay wametambia kila mmoja akijinasibu kushinda katika pambano lao la Novemba 29 litakalofanyika ...
RC GAMBO AJUTIA KUWAWEKA RUMANDE WATUMISHI
Mkuu wa Mkoa wa Arusha nchini Tanzania (RC), Mrisho Gambo ameeleza kujutia hatua za kuwaweka rumande watumishi wa umma bila kuwasikil...
MFAHAMU MUWEKEZAJI ALIYEISHIKA BOMBARDIER NCHINI CANADA
Hermanus Phillipus Steyn Ni muwekezaji anayejikita zaidi katika kilimo. Aliwekeza nchini kwa kutumia kam-puni yake ya Rift Valley See...
RAIS MAGUFULI AYANYOOSHEA KIDOLE MASHIRIKA, KAMPUNI 187, AYAPA SIKU 60
Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka viongozi wa mashirika, taasisi na kampuni za umma 187 kutoa gawio kwa Serikali ndani ya si...
WATU TISA WAFARIKI NYUMBA ZIKISOMBWA NA MAJI MWANZA
Watu tisa wa familia mbili tofauti katika Kata Yanyatukala Wilayani Sengerema, mkoani Mwanza wakiwemo wanawake wanne pamoja na watot...