Watendaji wa idara za serikali wametakiwa kushirikiana kubaini vyanzo vya matatizo yanayokwamisha miradi ya maendeleo katika hatua...
ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI DODOMA
Tarehe 25 Novemba, 2019 Mhe. Rais Magufuli aweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa maadhimisho ya kitaifa Ikulu Chamwino, aweka jiw...
BREAKING: WAZIRI JAFO AKITANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI
Waziri mwenye dhamana ya Tamisemi, Selemani Jafo, ametangaza matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana Novemba 24 nchi ...
MKUFUNZI WA NIT ALIEOMBA RUSHWA YA NGONO AHUKUMIWA
Mhadhiri wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), amehukumiwa kulipa faini ya Sh. Milioni tano au kwenda jela ...
WATU 24 WAFARIKI DUNIA KATIKA MKASA WA NDEGE CONGO
Karibu watu 24 wameuawa baada ya ndege ndogo kuanguka katika kitongoji chenye wakaazi wengi cha mji wa Goma, mashariki mwa Demokrasi...
KARIBU NUSU YA WATOTO WALIOFARIKI CHINI YA MIAKA MITANO WAKO AFRIKA
Kamati ya uchumi ya Afrika ya Umoja wa Mataifa (ECA), imesema karibu nusu ya watoto wote waliofariki chini ya miaka mitano walikuwepo...
RUFAA KESI YA ABDUL NONDO KUSIKILIZWA KESHO
Rufaa ya kesi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) Abdul Omari Nondo, inatarajiwa kusikilizwa kesho katika...
KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR KUANZA NOVEMBA 27 MWAKA HUU
Jumla ya Maswali 96 yameratibiwa kuulizwa na kujibiwa katika Mkutano wa 16 wa Baraza la Tisa la Wawailishi Zanzibar ambao unatarajiwa...
DC KOMBA AKERWA KOROSHO NYINGI KUSHINDWA KUFIKISHWA SOKONI
Mkuu wa wilaya ya Nachingwea, Hashim Komba amewataka viongozi wa chama kikuu cha ushirika cha RUNALI watatue tatizo la uhaba wa vifun...
RAHEEM STERLING AWATUNISHIA MSULI MAN CITY KISA PEP GUARDIOLA
Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Manchester City, Raheem Sterling hatotia saini mkataba wenye thamani ya pauni £450,000 kwa wi...
ADAIWA KUMUUA MWENZIE KISA WIVU WA KIMAPENZI
Kijana aliyetambulika kwa jina moja la Paschal mwenye umri wa miaka 24 anadaiwa kumuua Mzazi mwenzake RoseMary Gallus mwenye umri wa ...
WANANCHI KAHAMA KUNUFAIKA NA KILIMO CHA MAEMBE
Serikali ya halmashauri ya mji wa Kahama wilayani Kahama mkaoni Shinyanga imesema imepata wawekezaji watakaojenga viwanda vya kusindi...
WALIOFARIKI KWENYE MAPOROMOKO YA UDONGO KENYA WAFIKIA 46
Idadi ya watu waliofariki kwenye mkasa wa maporomoko ya udongo nchini Kenya imeongezeka hadi 46 huku shughuli za uokoaji na kutafuta ...
MOTO WAUNGUZA NYUMBA NA KUUA WATU WANNE
WAKAZI wa Makueni, Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wamefariki dunia kutokan...
POLISI TANZANIA YAWAKAMATA WALIOKUWA VIGOGO BODI YA KAHAWA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamduni Polisi Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania linawashikilia watu wanne waliokuwa...
MAJAJI WATATU KUTUMIA WIKI 3 KUSIKILIZA MASHAURI 29
Jumla ya mashauri 29 yanatarajiwa kuwasilishwa na kusikilizwa katika Mahakama ya Rufaa ambayo inaanza leo Jumatatu Novemba 25 hadi Dese...
MREMA ALALAMIKA KUCHEZEWA RAFU UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustino Mrema, amesema anaenda kulalamika kwa Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kwa kile alicho...
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KATIKA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -DODOMA
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Dodoma Mjini anapenda kuwajulisha kuwa, zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Ka...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 25 NOVEMBA, 2019
Mchezaji wa Borussia Dortmund Jadon Sancho, 19, anayelengwa na Manchester United anasisistiza kuwa hana mpango wa kuondoka klabu hiyo...
MKANGANYIKO UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Mkanganyiko wakati wa kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye vituo mbalimbali vya kupigia kura nchini uliibuka jana ...