Watu wasiojulikana wamevunja osi ya Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo kata ya Mwakibete Halmashauri ya jiji la Mbeya na kuiba fedha...
Divine Radio Live
FREDRICK SUMAYE AZUNGUMZIA UCHAGUZI WA CHADEMA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Fredrick Sumaye amesema kwa sasa hawezi kusema chochote kufuatia...
MBUNGE WA NDANDA AJITOSA KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA
Mbunge wa Jimbo la Ndanda kupitia Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Celic Mwambe ametangaza kuwania nafasi ya Uenyekiti Ta...
SERIKALI YASHAURIWA KUTOSAJILI MAKANISA BILA KUJIRIDHISHA UHALALI WAKE PAMOJA NA ELIMU ZA VIONGOZI WAKE
Serikali imeombwa kutowapatia vibali vya usajili wa makanisa wachungaji wasiokuwa na elimu ya dini ya kikristo kutoka katika vyuo vinav...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA UMMA TOKA MKOA WA MBEYA
JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 11 kwa tuhuma za kupatikana na Pombe Moshi na Bhangi katika misako na doria zil...
RC KAGERA AWASHUKIA WENYE VITI WA SERIKALI ZA MITAA
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Elisha Gaguti ametoa onyo kwa wenyeviti wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji katika mkoa...
MBOWE AOMBA KUPUMZIKA, DENGUE IMEMSHIKA
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameshindwa kujitetea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiomba apumzike kutokana na matatiz...
WATANZANIA 200 HUAMBUKIZWA VVU KILA SIKU
Mkurugenzi mtendaji wa Tume ya kudhibiti Ukimwi (Tacaids), Leonard Makombo, amesema kuwa zaidi ya watanzania 200 huambukizwa virusi v...
CARRIE LAM: WAPIGA KURA WAMEONYESHA KUTORIDHISHWA NA UONGOZI WA MJI WA HONG KONG
Kiongozi wa Hong Kong Carrie Lam akizungumza na vyombo vya habari baada ya kupiga kura katika uchaguzi wa Halmashauri za mitaa Novemba 24...
WAJUMBE WA MAREKANI WAMSIHI HAFTAR KUSITISHA MASHAMBULIZI KATIKA MJI WA TRIPOLI
Mbabe wa kivita Mashariki mwa Libya Khalifa Haftar. Marekani imeendelea kutoa shinikizo la kusitisha vita kwa mbabe wa kivita Masha...
CHINA NA MAREKANI WAKUBALIANA KUTAFUTIA SULUHU MATATIZO KATI YAO
China na Marekani, nchi mbili zilizostawi kiuchumi duniani, zinaendelea na mazungumzo baada ya kuibuka mvutano wa kibiashara. Naibu...
SUDAN: RAIS WA ZAMANI OMAR AL-BASHIR HATAFIKISHWA ICC
Rais wa zamani wa Sudan Omar al-Bashir katika mahakama ya KhartoumAgosti 31, 2019. Kwa wiki kadhaa kumekuwa na uvumi kuhusu uwezeka...
MAKASISI WA KIKATOLIKI WAFUNGWA JELA KWA KUWANYANYASA WATOTO VIZIWI ARGENTINA
Mahakama nchini Argentina imewahukumu makasisi wawili wa Kanisa Katoliki la Roma kifungo cha zaidi ya miaka 40 jela kila mmoja kwa ku...
POLISI WAFANIKIWA KUMKAMATA ALIYESABABISHA VIFO VYA MGAMBO
Polisi Mkoani Singida wamefanikiwa kumkamata Mkufunzi Msaidizi wa Jeshi la Akiba (Mgambo) Said Ng'imba anayetuhumiwa kutoa adhabu...
'KUFANYA MAPENZI NI HAKI YA MSINGI'
Kufanya mapenzi ni Haki ya Msingi, hayo yameelezwe na Mwenyekiti wa Baraza la watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI (NACOPHA) Leticia M...
BIBI WA MIAKA 75 ABAKWA, AUAWA
Jeshi la Polisi nchini Kenya linachunguza tukio la kubakwa na kuuawa kwa ajuza mwenye umri wa miaka 75 mkaazi wa Kijiji cha Kiandegwa...
KISA ZAMBIA, WAKENYA WAMALIZIA KISASI KWA TANZANIA ”NYIE NI MASHEMEJI, KUNA LEO NA KESHO” (+VIDEO)
Michuano ya Cecafa Women Challenge Cup imemaliza hapo jana baada ya timu ya taifa ya Wanawake kutoka nchini Kenya kufanikiwa kuibuka ...
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, CCM YASHINDA KWA ASILIMIA 99.9 – VIDEO
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo aliyatangaza matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo CCM imeshinda Vijiji 12,260 (99.9%), M...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA (VPL)
Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) ulivyo baada ya mechi tatu zilizochezwa hapo jana.
RC NJOMBE, CHRISTOPHER OLE SENDEKA AKAMATA GARI LA KUBEBA MAJI LIKIWA LIMEBEBA WAFANYAKAZI 30
Mkuu wa mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ametoa onyo kali kwa makampuni ya ujenzi mkoani humo kutumia magari ya mizigo kinyume n...
MHADHILI MSAIDIZI NIT ANUSURIKA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA, ALIPA FAINI
Mhadhili Msaidizi wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samson Mahimbo (69), amehukumiwa kulipa fidia ya Sh 2 milioni na faini ya...
WAZIRI MHAGAMA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA UTOAJI WA HUDUMA ZA UKIMWI IPOGOLO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe. Je...
WAZIRI WA KILIMO MHE HASUNGA AWAFUNDA WENYEVITI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 2019
Serikali imejipanga kuimarisha sekta ya kilimo ikiwa na dhamira ya kumkomboa mkulima kwa kuimarisha masoko ya bidhaa zao sambamba na ku...
AGIZO LA RAIS MAGUFULI LATEKELEZWA NDANI YA SAA 24, TAASISI 4 ZATOA GAWIO LA BILIONI 2.75
Saa chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa siku 60 kwa Taasisi, Kampuni ambazo Serikali ina hisa chache na Mashirika ya Um...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE TAREHE 26 NOVEMBA, 2019
Wachezaji wa ngazi ya juu wa Arsenal wanahofia kuwa wachezaji wao maarufu watalazimika kuangalia upya mustakabali wao wa baadae ikiwa...