Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inatarajia kuanzisha mfumo wa kanzidata wa taifa utakaosaidia kurahisisha utambuzi wa miili iliyoh...
MBUNGE CHADEMA AJA NA HOJA TANO KUMNG’OA MBOWE
MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe (Chadema), ametangaza nia ya kumng’oa Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Freeman Mbowe katika nafasi hi...
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA TENA NA WANACHI AKIWA MJINI KAHAMA - SHINYANGA "NISIKILIZE INJINIA, UKICHEZA NA HII NITAKUFUNGA"
WATANZANIA ASILIMIA NANE PEKEE WANA BIMA YA AFYA
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF), umesema kuwa ni Watanzania milioni 4.6 tu wenye bima ya Afya sawa na asilimia nane.
MASAUNI AMWAGIZA IGP SIRRO KUPANGUA UONGOZI CHUO CHA POLISI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamad Masauni amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro kufanya mabadil...
MADAKTARI WAONYA, WAELEZA MADHARA YA KULALA NA SIMU
Madaktari bingwa wa ubongo na mishipa ya fahamu na wale wa magonjwa ya saratani wanaonya kuwa kulala karibu na simu kuna madhara kia...
TAMKO LA MAREKANI JUU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA “TUMESIKITISHWA SANA”
Leo November 27, 2019 Serikali ya Marekani kupitia Ubalozi wake Nchini Tanzania imedai kuwa, Wasimamizi wa Uchaguzi kwa kiasi kikubwa...
UGANDA: VICHWA VIWILI VYA BINADAMU VYAKUTWA SHAMBANI
Polisi Wilayani Ibanda nchini Uganda Ibanda wamevikuta vichwa viwili vya binadamu (Mwanaume na Mwanamke) vikiwa vimetupwa shambani ma...
SERIKALI KUANGALIA MANUFAA YA MPANGO WA KUPELEKA UMEME VIIJIJINI
Serikali imeaza kufanya utafiti wa kuangalia manufaa yayopatikana kutokana na utekelezaji wa mpango wa kupeleka umeme viijijini.
MWINYI ZAHERA AIBUKIA YANGA KIMTINDO
Aliyekuwa kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema anarudi Tanzania kufuata malimbikizo ya madeni yake kwa uongozi wa klabu hiyo.
CCM WAMPA ONYO BENARD MEMBE
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemuonya Benard Membe, kutokuwa juu ya katiba ya chama hicho.
RAIS MAGUFULI AMPONGEZA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA KWA KUCHAPA KAZI VIZURI
Rais Magufuli amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga (RC), Zainabu Tellack kwa kumwakilisha vema kwa kusimamia kikamilifu nafasi yake ...
RAIS MAGUFULI:"KUSUSIA UCHAGUZI NAYO NI DEMOKRASIA"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema kitendo cha kususia uchaguzi na kujitoa katika uchaguzi pia ni...
MAJIBU YA RAIS MAGUFULI BAADA YA MWANANCHI KUMTAKA AACHIE FEDHA, MAISHA MAGUMU
Rais Magufuli amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na waache kulalamika kwamba hawana fedha wakati hawajitumi.
SHAHIDI AELEZA MAHAKAMA ADHABU ILIVYOSABABISHA ULEMAVU WA MGONGO KWA MWANAFUNZI
Kesi ya jinai inayomkabili Mwalimu Focus Mbilinyi , dhidi ya Jamhuri kwa tuhuma za kumpiga Mwanafunzi na kumsababishia ulemavu, imeende...
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA KAHAMA - SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kahama waliomsubiri njiani akilekea Mk...
MKUTANO WA 39 WA BARAZA LA MAWAZIRI WA EAC KUANZA LEO JIJINI ARUSHA
Mkutano wa 39 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unatarajiwa kwanza leo tarehe 27 Novemba 2019 jijini Arusha.
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza Limefanikiwa Kuipata Silaha Moja Aina Ya Bastola Ikiwa Na Risasi Tatu Zinatumiwa Na Wahalifu (Majambaz...
WANANCHI WA NAMIBIA WAPIGA KURA KUWACHAGUA VIONGOZI WAO
Tintenpalast, Makao makuu ya Serikali na Bunge la Windhoek, mji mkuu wa Namibia. Raia wa Namibia wanapiga kura leo Jumatano katika ...
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA KAHAMA - SHINYANGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Shelui waliomsubiri njiani akilekea Mk...
ASKARI 13 WA UFARANSA WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HELIKOPTA MBILI MALI
Askari wa Ufaransa na Mali wakipiga doria pamoja katika mitaa ya Menaka, jimboni Liptako, Mali, Machi 21, 2019. Ufaransa umewapotez...
DRC: MVUA KUBWA YAUA WATU THELATHINI NA SITA KINSHASA
Kinshasa, DRC, Barabara kuu ya Juni 30 yakumbwa na mafuriko, Oktoba 25, 2019. Watu wasiopungua 36 wamefariki dunia baada ya mvua ku...