Mfumo wa vifurushi vya Bima ya Afya umezinduliwa rasmi jana jijini Dar es Salaam, huku Mwenyekiti wa Bodi ya Mfumo wa Bima ya Taifa (NH...
HUMPHREY POLEPOLE AMPIGA KIJEMBE SUMAYE BAADA YA KUPIGWA CHINI UCHAGUZI CHADEMA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amempiga kijembe Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ba...
DPP AFUTA KESI 59 ZAIDI JIJINI MBEYA
Katika mwendelezo wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Katiba na Sheria Mh. Balozi Dkt Augustine Mahiga (Mb) kwenye mikoa ya kusini, Mkuruge...
AGAPE YAENDESHA KIKAO KUJADILI KUTENGENEZA MUONGOZO WA KUPAMBANA NA UKATILI SOKONI SHINYANGA
Shirika lisilo la kiserikali Agape Aids Control Programme limeendesha kikao cha kujadili namna ya kutengeneza muongozo ambao utatumik...
WAZIRI JAFO AWAPA WIKI MOJA WAKURUGENZI KUMPA TAARIFA ZA MIKOPO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo,amezitaka halmashauri zote nchini kutoa taarifa ...
WAZIRI MKUU: NCHI YETU INAHITAJI WATAALAMU WA SEKTA YA UVUVI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kupata watendaji wa sekta ya uvuvi kuanzia ngazi ya vitongoji kwani kuna vijiji ...
SUMAYE APIGWA CHINI UCHAGUZI CHADEMA
Aliyekuwa mgombea pekee wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameshindwa kutetea nafasi hiyo baada ya kupi...
MSANII BI CHEKA AFARIKI DUNIA
Msanii wa Muziki Nchini Tanzania Cheka Hija Mzee Maarufu zaidi Bi Cheka amefariki dunia mchana wa Novemba 28,2019 katika Hospitali ya ...
DRC: TIMU ZINAZOPAMBANA DHIDI YA EBOLA ZALENGWA KATIKA MASHAMBULIZI ITURI
Afisa wa afya wa DRC anayepambana dhidi ya Ebola katika hospitali ya Bwera, karibu na mpaka na Uganda (picha ya kumbukumbu). Maafis...
KUNDI LA IS LADAI KUSABABISHA AJALI YA HELIKOPTA MBILI ZA UFARANSA MALI
Helikopta ya jeshi aina ya NH90 ya kikosi cha jeshi la Ufaransa, Barkhane, katika eneo la Ndaki, Mali, Julai 29, 2019 Kundi la wan...