Simba SC imetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu Patrick Aussems kwa kile walichodai kuwa ameshindwa kufikia malengo, Aussems al...
KAULI YA MWAKINYO BAADA YA KUMCHAPA MFILIPINO ARNEL TINAMPAY
Bondia Hassan Mwakinyo amesema moja ya sababu iliyopelekea yeye kumshinda Bondia Mfilipino Arnel Tinampay, ni yeye kurusha ngumi nzito ...
ACT- WAZALENDO WATAKA VIFURUSHI BIMA YA NHIF VISITISHWE, SERKALI YAWAJIBU
Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kusitisha vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Tanzania (NHIF) kwa madai kuwa vinakan...
GARI LA COASTAL UNION LIKIWA NA MASHABIKI WALIOENDA KUMSHANGILIA BONDIA MWAKINYO LAPATA AJALI
Gari la Coastal Union iliyokuwa imebeba mashabiki kutoka Tanga ambao walienda Dar kumuunga mkono Bondia Mwakinyo limepata Ajali kwa kug...
AJINYONGA BAADA YA MKEWE KUMTOROKA USIKU NA KWENDA KWA MWANAUME MWINGINE
Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti wilayani Nkasi mkoani Rukwa, likiwemo la mwanaume kujinyonga kwa kutumia kamba ya na...
CHUO CHA MIPANGO CHATAKIWA KUFANYA UTAFITI WA UMASIKINI NA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMMA
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kutafiti kwa kina namna wananch...
SIMBACHAWENE: MATUMIZI YA NISHATI MBADALA NI KITU CHA MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Matumizi ya nishati ya kuaminika na endelevu ni kitu kisichoepukika kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na kwa Taifa lolote duniani hasa t...
MAHIGA AWATAKA WAKUU WA MAGEREZA NCHINI KUTUMIA UJUZI WA WAFUNGWA KUJIENDESHA NA KUTOA MCHANGO WA GAWIO KWA SERIKALI
Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Balozi Dkt Augustine Mahiga amewataka Wakuu wa Magereza nchini kutumia nguvu kazi na ujuzi wa waf...
IGP SIRRO: RUDISHENI MAHARI, WATOTO WA KIKE SIO MITAJI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka wazazi wote na walezi Mkoani Mara walioozesha watoto wadogo wakiwemo wanafunzi...
ABIRIA WANUSURIKA KIFO HIACE IKITEKETEA KWA MOTO STENDI YA MABASI SOKO KUU MJINI SHINYANGA
Abiria ambao idadi yao haijajulikana wamenusurika kuungua baada ya gari aina ya Hiace yenye namba za usajili T998 AAP inayofanya safa...
WAGONJWA WA HIV KUTUMIA SINDANO BADALA YA DAWA IWAPO MAJARIBIO YATAFANIKIKIWA
Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kwamba mnamo miaka michache ijayo, wagonjwa wanaotumia dawa za kupunguza makali ya virusi vya uki...