Mfanyabiashara maarufu Marijan Msofe maarufu ‘Papaa Msofe’ na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakik...
Divine Radio Live
KISUTU: KESI YA ALIYEMCHOMA MKEWE KWA MAGUNIA YA MKAA
MAPEMA leo Jumatatu, Desemba 2, 2019, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Upande wa mashtaka katika kesi ya mauaji inayomkabili Mfan...
MCH. MSIGWA ASEMA HAJUI AKWILINA ALIUAWA LINI
MBUNGE wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji, Peter Msigwa amesema kuwa taarifa za kifo cha Akw...
HAPI AAGIZA POLISI, TAKUKURU KUKAMATA VIONGOZI
MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi ameagiza jeshi la polisi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkaoni humo kuwakam...
RAIS TRUMP HATOSHIRIKI KATIKA KIKAO CHA UCHUNGUZI DHIDI YAKE
Wakili wa Rais Donald Trump wa Marekani amesema Ikulu ya White House haitashiriki katika kikao cha uchunguzi bungeni Jumatano ijayo, a...
IRAQ: WAZIRI MKUU KUJIUZULU BAADA YA WATU KUPOTEZA MAISHA
Waziri Mkuu wa Iraq, Adel Abdul Mahdi anatarajiwa kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu, baada ya zaidi ya watu 40 kuuawa ndani ya siku...
DOVUTWA AVULIWA UENYEKITI UPDP
Halmashauri Kuu Taifa ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP) imemvua uenyekiti Fahmi Dovutwa baada ya kubainika kuf...
JOHN HECHE APIGWA MWELEKA UCHAGUZI CHADEMA
Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti kwa kupata kura 44 na kumshinda Mbunge wa Tarim...
HAGE GEINGOB ACHAGULIWA TENA KUWA RAIS WA NAMIBIA RAIS MAGUFULI AMPONGEZA
Rais wa sasa wa Namibia Hage Geingob ameshinda kwa muhula wa pili licha ya kuporomoka kwa kiasi kikubwa kwa idadi ya wapiga kura wa...
MCHUNGAJI, WAUMINI NA WATOTO WAUAWA KANISANI
Watu takribani14 wameuwawa baada ya shambulio la wazi ndani ya kanisa nchini Burkina Faso.
ZAHERA KUKAA MEZA MOJA NA YANGA
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amesema leo Jumatatu anatarajia kukutana na uongozi wa timu hiyo lengo likiwa n...
UTATA WAIBUKA KIFO CHA KICHANGA BAADA YA KUFANYIWA TOHARA
Mtoto wa miezi sita wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, Junedi Mbaga amefariki muda mfupi baada ya kufanyiwa tohara kwenye zahanati bina...
WATU 1,252,205 WANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI NCHINI TANZANIA
Mpaka kufikia mwezi Septemba 2019 takribani watu 1,252,205 kati ya wananchi 1,600,000 wanaokadiriwa kuishi na VVU nchini walikuwa wamep...
RWANDA NA NCHI KADHAA KUJADILI NAMNA YA KUDHIBITI MAABUKIZI YA UKIMWI AFRIKA
Serikali ya Rwanda inaendelea kuhimiza wananchi wake namna ya kupambana dhidi ya maambukizi ya virisi vya UKIMWI. Kongamano la Kima...