Usiku wa leo ligi kuu ya England kuna mechi kadhaa zinatarajiwa kuchezwa, lakini macho na maskio ya wapenzi wengi wa soka yataelekezwa ...
KAULI YA HUMPHREY POLEPOLE BAADA YA SUMAYE KUNG'OKA CHADEMA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amemwambia Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye kuwa alimu...
ZITTO KABWE AKANA KUFANYA MAZUNGUMZO YOYOTE NA SUMAYE
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawajafanya mazungumzo yoyote na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye ambaye ...
CHADEMA WAFUNGUKA BAADA YA SUMAYE KUTANGAZA KUKIHAMA CHAMA HICHO
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa na kauli za mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Fred...
ASKARI WA TATU NA MAGAIDI WATATU WAUAWA KASKAZINI MWA BURKINA FASO
Jeshi la Burkina Faso lnaendelea kukabiliana na makundi ya kigaidi, hasa kaskazini mwa nchi hiyo. Burkina Faso Wanajeshi watatu wa B...
UBAKAJI,UDHALILISHAJI WAUNDIWA MKAKATI MAALUM ZANZIBAR
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongoza Kikao Maalumu na Viongozi wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar, ...
MWANAMKE AKAMATWA NA POLISI KWA KUTAKA KUMUUZA MWANAYE
Kenya Mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Sharon Achieng (23) kutokea nchini Kenya, amekamatwa na polisi katika kituo cha Sia...
VIDEO: MAFURIKO YATIKISA TABORA, RC MWANRI “HIKI NI CHA MTOTO”, WANANCHI WALIA
(picha haihusiani na tukio) Tabora Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini, usiku wa December 3 majira ya Saa 5 usiku mvua k...
FUNDI SEREMALA ADAIWA KUMBAKA NA KUMPA UJAUZITO MWANAFUNZI
Mwanza FUNDI seremala Daud Kabishi (40), amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kwa tuhuma mbili za kumbaka na ku...
BEI MAFUTA PETROLI, DIZELI YASHUKA TANZANIA
Dar es Salaam Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania imetangaza bei za kikomo kwa bidhaa za mafut...
VIDEO: SUMAYE ASABABISHA MMOJA KUJIUZULU UONGOZI CHADEMA
Dar es Salaam Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Casmir Mabina amewasilisha barua ya kujiuzul...
AHUKUMIWA JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BIBI WA MIAKA 60
Mwanza Mahakama ya Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imemuhukumu mkazi wa Kijiji cha Nange, Shabo Marando (47) kwenda jela miaka 30 k...
TAKUKURU WAMPA SIKU 10 MKANDARASI KUKAMILISHA MRADI
Chemba, Dodoma Mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa(TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo, amemuagiza Mkandarasi w...
SHERIA: MZUNGU WA UNGA AONGEZEWA ADHABU
Moshi Mkazi wa Mwembechai jijini Dar es Salaam, Sophia Kingazi aliyefungwa miaka 20 na kulipa faini ya Sh10 milioni kwa kusafirisha...
WAENDESHSAJI PIKIPIKI RWANDA KUTUMIA MITA MAALUM
Watu wanaofanya biashara ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki nchini Rwanda wametakiwa kuanza kutumia mita maalum ya kupima muda ya ...
MWENYEKITI UVCCM ANG'OLEWA MADARAKANI KWA KUDANGANYA UMRI
Aliyekua Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Mtwara, Aziz Mrope amevuliwa nafasi hiyo pamoja na kufutiwa uanachama wa umoja...
WATU 30 WAHOFIWA KUFARIKI KATIKA MATOPE NCHINI UGANDA
Zaidi ya watu 30 wa Wilaya ya Bududa iliyopo Uganda Mashariki wamehofiwa kufariki kutokana na kufukiwa na matope yaliyosababishwa na ...
BREAKING NEWS: SUMAYE AJIONDOA RASMI CHADEMA, ADAI HATAJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE
Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye leo Desemba 4, 2019 ametangaza kuondoka CHADEMA.
LIVE: SUMAYE ANATOA TAMKO ZITO MUDA HUU DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni kada wa Chadema, Fredrick Sumaye, leo Desemba 04, ameitisha mkutano na waandishi wa habari kuzungumzi...
TETESI ZA SOKA ULAYA TAREHE 04 DECEMBA, 2019 JUMATANO
Kocha aliyetimuliwa na Tottenham Mauricio Pochettino anataka kumrithi Ole Gunnar Solskjaer kama kocha wa Manchester United. (Manch...
SINGIDA: KIJANA ALIYEFANYA UTANI WA KUTAKA KUMUUA RAIS MAGUFULI, AAMBULIWA KIFUNGO CHA MIAKA 2 JELA
MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ...