} });
 
ZITTO ATAKA WAPINZANI KUUNGANA 2020, AJIPIGIA DEBE URAIS
ZITTO ATAKA WAPINZANI KUUNGANA 2020, AJIPIGIA DEBE URAIS

Dar es Salaam Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema lazima vyama vya upinzani viungane katika uchaguzi mkuu wa mwaka...

Read more » Soma zaidi »

MAHAKAMA YAKATAA KUPOKEA BARUA YA CHADEMA
MAHAKAMA YAKATAA KUPOKEA BARUA YA CHADEMA

Dar Es Salaam Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imekataa kupokea barua ya katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji aliyomwandikia msi...

Read more » Soma zaidi »

LAANA YA BIBI YAMPELEKA MIAKA 30 JELA
LAANA YA BIBI YAMPELEKA MIAKA 30 JELA

Misungwi Mahakama ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza imemhukumu mkazi wa kijiji cha Nange, Shabo Marando (47) kifungo cha miaka 30 j...

Read more » Soma zaidi »

TRENI YA DAR ES SALAAM - MOSHI KUTUMIA SAA 16, TRC YASEMA NI MWANZO
TRENI YA DAR ES SALAAM - MOSHI KUTUMIA SAA 16, TRC YASEMA NI MWANZO

Wakati abiria wanaosafiri kutoka Dar es Salaam hadi Moshi mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania wakitutumia saa kumi hadi 11 njiani kufi...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI WA KILIMO ATISHIA KUIFUTA BODI YA WAKALA WA MBEGU (ASA)
WAZIRI WA KILIMO ATISHIA KUIFUTA BODI YA WAKALA WA MBEGU (ASA)

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ametangaza kuifuta Bodi ya Wakala wa Mbegu (ASA) endapo itashindwa kusimamia majukumu yake ipa...

Read more » Soma zaidi »

HALIMA MDEE AKANA KUSHIRIKI MAANDAMANO
HALIMA MDEE AKANA KUSHIRIKI MAANDAMANO

Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee amekana kushiriki katika mkusanyiko usio halali unaodaiwa kufanyika katika maeneo tofauti ya Buibu...

Read more » Soma zaidi »

MBINU YA KUGEUZA KUKU WA KISASA KAMA WAKIENYEJI YAFICHULIWA
MBINU YA KUGEUZA KUKU WA KISASA KAMA WAKIENYEJI YAFICHULIWA

Mtaalamu wa masuala ya kutetea Haki na Ustawi wa Wanyama kutoka shirika la World Anima Protection ,Dkt Victor Yamo akizungumza na Waandis...

Read more » Soma zaidi »

WATATU WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI
WATATU WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la John Lubisi Mwa...

Read more » Soma zaidi »

POLAND: WATU NANE WAFARIKI KATIKA MLIPUKO MKUBWA WA GESI
POLAND: WATU NANE WAFARIKI KATIKA MLIPUKO MKUBWA WA GESI

Watu nane, ikiwa ni pamoja na watoto wanne, wamekufa wakati wa mlipuko mkubwa wa gesi uliotokea Jumatano usiku katika jengo la makazi...

Read more » Soma zaidi »

AGAPE, POLISI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
AGAPE, POLISI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Shirika lisilo la kiserikali Agape Aids Control Program la mkoani Shinyanga, limefanya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kij...

Read more » Soma zaidi »

MAJINA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020
MAJINA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2020

Wanafunzi 701,038 sawa na asilimia 92.27 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2019 wamechaguliwa kuendelea na kidato cha kwanza ...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO TAREHE 06 DESEMBA, 2019
MAGAZETI YA LEO TAREHE 06 DESEMBA, 2019

Read more » Soma zaidi »
 
Top