MANCHESTER, ENGLAND BAADA ya timu ya Manchester United kufanikiwa kuondoka na pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya mabing...
SUDAN KUWALIPA WAATHIRIWA WA MABOMU YA OSAMA, KENYA NA TANZANIA YA MWAKA 1998
Waziri mkuu mpya wa Sudan Abdalla Hamdok, ameahidi kwamba taifa lake hivi karibuni litawafidia takriban dola bilioni 6 waathiriwa wa ...
VIDEO: MUUAJI ATOKA GEREZANI KWA MSAMAHA WA MAGUFULI “NILIPIGANA DISCO, DAMU IKAVUJIA NDANI”
Leo December 10, 2019 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela amewahimiza watu wa Mwanza na Watanzania wote waendelee kumuombea Rais ...
SLOVENIA: NYOTA WA NIGERIA ATIMULIWA KLABUNI BAADA YA KUMPA UJAUZITO MTOTO WA RAIS
Mchezaji wa soka raia wa Nigeria jina lake halijawekwa wazi ametimuliwa na klabu yake inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Slovenia ...
KIONGOZI ALIYEPITA BILA KUPINGWA MBARONI KWA TUHUMA ZA WIZI
Mwenyekiti wa mtaa wa changanyikeni, kata ya Tuangoma iliyopo wilaya ya Temeke aliyepita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa Novemba mwa...
AMBER RUTTY ATANGAZA KUWA SINGO, “JIMBO LIKO WAZI”
Msanii na video vixen matata asiyeishiwa vituko Bongo, Rutyfiya Abubakar ‘Amber Rutty’, ametangaza kuwa yupo ‘singo’ na kuibua gumzo k...
AUAWA KINYAMA SHAMBANI, MWILI WAFUNGWA KWENYE KIROBA
MBEYA: Dunia katili! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia baba aliyejulikana kwa jina la Lubisi Mwakalundwa (62), mkazi wa Kijiji cha Nkun...
MISS TANZANIA ATAMBA ANDIKA HISTORIA YA KUINGIA 20 BORA MISS WORLD
Miss Tanzania 2019 Sylivia Sebastian ameandika historia na kuingiza Tanzania kwenye rekodi ya kuingia 20 bora ya nchi zenye vipaji Du...
MFUNGWA AGOMEA MSAMAHA WA RAIS ALILIA KUBAKI GEREZANI
Mfungwa Merad Abraham ambaye alipaswa kurejea Uraiani na wenzake baada ya msamaha wa Rais Magufuli alioutoa Uhuru Day, amekataa kuon...
YANGA WAANIKA MADENI MAKUBWA MATANO YANAYOWAKABILI
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msolla ametoa ufafanuzi juu ya mapato na matumizi ya klabu hiyo tangu uongozi wake ulipoin...
KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO AAGIZA BODI NA WATENDAJI WA SACCOS KUWASILISHA RASIMU ZA TAARIFA ZA FEDHA KWA WAKAGUZI WA NJE COASCO KABLA YA JANUARI 31, 2020
Wizara ya Kilimo inawatangazia Wana SACCOS wote hasa Bodi na Watendaji wa SACCOS nchini kuwa, matakwa ya Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ...
MAFURIKO YANAVYOENDELEA KUATHIRI KATIKA MATAIFA YA AFRIKA MASHARIKI, YAUA WATU 22 UGANDA
Mafuriko nchini Uganda yamekatisha maisha ya watu 20, kufuatia mvua kubwa magharibi mwa nchi hiyo. Vikosi vya uokozi vimekuwa katika ji...
MIKATABA KUWA SULUHISHO LA MIMBA NA NDOA ZA UTOTO SHINYANGA
Baada ya kukithiri kwa matukio ya wanafunzi kupata mimba na uwepo wa ndoa za watoto chini ya umri wa miaka 18 mkoani Shinyanga, hatimay...
URUSI NA UKRAINE KUMALIZA UHASAMA, RAIS PUTIN NA MWENZAKE ZELENSKY WAKUBALIANA MAMBO HAYA
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky (kulia) na Vladimir Putin (kushoto) Urusi na Ukraine wanataka kuwepo na usitishwaji kabisa wa mapiga...
GEREZA LA BUTIMBA LAANZA KUACHIA HURU WAFUNGWA
Baada ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Mgufuli kuwasamehe wafungawa 5,533, jana katika maadhimisho ya miaka 58 y...
MWANAMKE AFUFUKA, MAPIGO YAKE YA MOYO YALIZIMA SAA SITA, MADAKTARI WASIMULIA
Audrey alikosa fahamu kwa saa sita baada ya mapigo yake ya moyo kusimama Mwanamke wa Uingereza ambaye alipata mshtuko wa moyo baada y...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMANNE 10 DESEMBA, 2019: MCTOMINAY, SOLSKJAER, ERIKSEN, EMERY
Mkufunzi wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameambiwa kwamba kazi yake ipo salama na mmiliki wa klabu hiyo na kwamba hawatamua...
FINLAND KUWA NA WAZIRI MKUU MWENYE UMRI MDOGO ZAIDI DUNIANI
Sanna Marin kutoka nchini Finland atakuwa ndiye waziri mkuu mwenye umri mdogo zaidi akiwa na miaka 34.
C-130 HERCULES: NDEGE YA KIJESHI YA CHILE YATOWEKA NA WATU 38
Ndege ya kijeshi iliokuwa na abiria 38 imetoweka ikielekea Antarctica, kulingana na taarifa ya jeshi la wanahewa wa Chile.