Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa mrejeo wa taarifa iliyotolewa tarehe 06 Disemba 2019 kuhusu uwepo wa mgandamizo...
BREAKING: ALIEKUWA RAIS WA TFF MALINZI AHUKUMIWA KWENDA JELA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu aliyekuwa Rais wa TFF Jamali Malinzi na Katibu wake, Selestine Mwesigwa kulipa faini ya S...
SERIKALI YABAINISHA IDADI YA FAMILIA ZILIZOTAKA VIPIMO VYA DNA KUHAKIKI BABA
Imeelezwa kuwa Ofisi ya Mkemia Mkuu Kanda ya Kati imepokea sampuli 36 zakupima vinasaba vya kujua uhalali wa Baba wa watoto (DNA).
MFUNGWA AFARIKI BAADA YA KUPEWA MSAMAHA WA RAIS
Kamishna msaidizi wa jeshi la Magereza mkoani Ruvuma, Richard Nyivwe amethibitisha kifo cha mfungwa mmoja aliyefahamika kwa jina la T...
KOCHA STARS AFUNGIWA CECAFA
Licha ya kuanza na ushindi katika mechi ya kwanza, Kocha Mkuu wa timu ya Kenya, ‘Harambee Stars’, Francis Kimanzi amefungiwa michezo ...
PICHA: MKUU WA MKOA WA MARA ASIMAMIA ZOEZI LA KUACHIWA HURU WAFUNGWA
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima akiongea na sehemu ya wafungwa 23 walioachiwa katika gereza la Musoma kati ya wafungwa 259 waliof...
GAVANA SONKO AACHIWA KWA DHAMANA YA MAMILIONI
Gavana wa Jimbo la Nairobi Mike Mbuvi Sonko hatimaye ameachiliwa kwa dhamana ya ya zaidi ya Milioni 330 lakini amekatazwa kufika kati...
WATANZANIA 19 WALIOZAMIA SOUTH AFRIKA WAHUKUMIWA KWENDA JELA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu miezi miwili jela na kulipa faini ya Shilingi Elfu Hamsini raia 19 wa Tanzania akiwemo Pa...
SHINYANGA: WASICHANA WAOGESHWA DAWA KUVUTIA WANAUME
Katika hali ya kustaajabisha, wanafunzi na mabinti kati ya miaka 10 hadi 15 katika mkoa wa Shinyanga wamekuwa wakipelekwa na wazazi w...
KENYA: ASIMAMISHA MSAFARA WA RAIS NA KUOMBA KAZI
Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Uvinalies Nyabuto, amekamatwa na kutiwa mbaroni kwa kosa la kusimamisha msafara wa magari wa...
SERIE A YAMPONZA ANCELOTTI, ARSENAL NA EVERTON ZAMFUATA
Baada ya club ya Napoli ya Italia kumfuta kazi aliyekuwa kocha wake Carlo Ancelotti akiwawezesha kupata ushindi wa magoli 4-0 dhidi y...
HII NDIO SAFU MPYA YA UONGOZI BARAZA LA VIJANA LA CHADEMA
John Justine Pambalu ndie amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana la CHADEMA, akichukua nafasi ya Patrick Ole Sosopi,...
WAOMBA KUPELEKEWA WALIMU WA KIKE KUTATUA CHANGAMOTO ZA UPANDE WA WANAFUNZI WA KIKE
Na Anyigulile Imani, Mbeya Baadhi ya walimu wa shule ya msingi Ilota iliyopo katika kata ya Mshewe jijini Mbeya wameiomba serikali ku...
GIGY MONEY: KUZAA SIYO KUZEEKA
MSANII wa muziki Bongo ambaye pia ni ‘video vixen’, Gift Stanford maarufu kama ‘Gigy Money’ amewataka wasanii wenzake wazae na kuacha d...
ALSHABAB WAMEKIRI KUIVAMIA HOTELI MOGADISHU ILIYO KARIBU NA OFISI YA RAIS
Wanamgambo wa Alshabab nchini Somalia wamekiri kuhusika na shambulio linaloendela katika hoteli ya kifahari mjini Mogadishu SYL nchin...
MAPAMBANO MAKALI YAZUKA KATIKA MJI WA JERSY MAREKANI
Maafisa wa polisi walifyatuliana risasi na watu wawili waliojihami kwa muda wa saa moja Afisa mmoja wa polisi na takriban watu watano ...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO 11 DESEMBA, 2019: NEYMAR, MBAPPE, AKE, IBRAHIMOVIC, MADDISON
Liverpool, Manchester City na Chelsea ni miongoni mwa timu sita zinazotaka kumsaini mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil na Paris St-Ger...
AMBAKA MTOTO WA DARASA LA SITA HADI KUMUUA
Mponjoli Lisa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka binti wa darasa la sita Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni hadi ...
RC TELACK AWAONYA WAFUNGWA WALIOPEWA MSAMAHA NA RAIS MAGUFULI
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack, amewaonya wafungwa ambao wamepewa msamaha wa kuachiwa huru na Rais John Magufuli kuwa...
MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 3.8% KUTOKA ASILIMIA 3.6%
Na Faustine Gimu Galafoni, Dodoma Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka...
WAFUNGWA 136 WAACHIWA HURU SIMIYU KUFUATIA MSAMAHA WA RAIS, WAAHIDI KUWA RAIA WEMA
Jumla ya wafungwa 136 kutoka magereza za Mkoa wa Simiyu wamechiwa huru kufuatia msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
WAFUNGWA 293 KUTOKA MAGEREZA YA MKOA WA DAR ES SALAAM WAACHIWA HURU KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI
Jumla ya Wafungwa 293 kutoka magereza Ya Ukonga, Keko,Segerea na Wazo Hill jijini Dar es salaam jana wameachiwa huru kwa Msamaha wa Ra...