Tanzania imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka na za pamoja kushughulikia suala la mabadiliko ya tabianchi na a...
BITEKO AAGIZA WACHIMBAJI WAPEWE MCHANGA WENYE ALMASI
Serikali imekubaliana na Mgodi wa almasi wa Willimson Dimonds Limited (WDL) uliopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga kuwapa mchanga wa...
VIDEO: KIONGOZI WA UPINZANI AKAMATWA KWA KUJIFANYA AFISA WA TAKUKURU NA KUPIGA MILIONI 50
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Ilala inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa ‘Chama cha Kijamii’ CCK, Renatus Gr...
WANAUME WENYE MICHEPUKO HATARINI KUPATA TEZI DUME
Msimamizi wa upimaji wa tezi dume na virusi vya Ukimwi, wilayani Pangani, Dkt. Paul Chabai amebainisha kuwa moja ya sababu ya wanaume...
KILA MFUNGWA ALIYESAMEHEWA KATAVI AMEPEWA ARDHI HEKARI 5
Jumla ya wafungwa 74 waliopata msamaha wa Rais, Dkt. John Magufuli waliopo mkoani Katavi wamepatiwa hekari 370 za aridhi ili ziwasaid...
PILIPILI KUTUMIKA KUFUKUZA TEMBO KWENYE MAKAZI YA WATU
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa uhifadhi wamekubaliana kutumia mbinu za kisasa na za jadi ikiwamo kwenye vijiji vinavyopakana ...
WAPAMBE WA BOBI WINE WAONYWA KUPIGA KAMPENI KWA KUANDIKA NA KUZICHAFUA FEDHA ZA UGANDA
Raia wa Uganda wamekuwa wakiandika jumbe za kisiasa kwenye noti za fedha, ambapo jumbe nyingi ni za kushawishi kuchaguliwa kwa Mbunge B...
APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA BANGI
Mkazi wa Tabata Mtambani, Novati Valentino (22) ambaye ni Mfanyabiashara amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondo...
KENYA: WATU 5 WAFARIKI BAADA YA MABASI MAWILI YA MODERN COAST KUGONGANA, 62 WAJERUHIWA
Watu watano wamethibitishwa kuaga dunia na 62 wengine kujeruhiwa kufuatia ajali iliyokuwa inahusisha mabasi mawili ya Modern Coast.
KUSAGA ATOBOA SIRI NYIMBO ZA DIAMOND KUTOPIGWA CLOUDS
Mmiliki wa Kampuni ya Clouds Media ya Tanzania, Joseph Kusaga Mmiliki wa Kampuni ya Clouds Media ya Tanzania, Joseph Kusaga ameelez...
MIMBA YA MWANAFUNZI YAMPELEKA JELA MIAKA 30
Mkazi wa kitongoji cha Isagehe wilayani ya Misungwi mkoa wa Mwanza, Juma Masalu (20) amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa makosa ya k...
“KWA TAARIFA TU, NDEGE ILIYOSHIKWA CANADA IMEACHIWA” JPM
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imekamatwa nchini Canada imeachiliwa na wa...
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI ANAFUNGUA SEMINA YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaf...
SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA KUTOKA UBELGIJI
Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck Klabu ya Simba SC imemtambulisha kocha wake mpya Mbelgiji Sven Ludwig Vandenbroeck jana Jumatano ...
MAAGIZO YA MKURUGENZI TANTRADE KWA WAKULIMA WA ALIZETI
Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Edwin Rutageruka amewataka Wadau wa Alizeti wa Mkoa wa Singida kupanga mikakati ya pamoja ya kuongeza uza...
WANAOTAKA FEDHA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA WAONYWA
Waziri wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Balozi Augustine Mahiga amewaonya watendaji wanaowatoza wazazi fedha ili kuwasajili na ku...
MVUA YASOMBA BARABARA SHINYANGA
Mvua iliyoanza kunyesha Jumanne Desemba 10, 2018 mkoani Shinyanga imesababisha wakazi wa kata ya Mwakitolyo kuvushwa kwa mtumbwi kuto...
TETESI ZA SOKA ULAYA ALHAMISI 12 DESEMBA, 2019: IBRAHIMOVIC, ARTETA, WILLIAN, GIROUD, POGBA, HAVERTZ, FERGUSON, SAUL
Everton imezungumza na ajenti Mino Raiola kumuachilia mshambuliaji wa Sweden Zlatan Ibrahimovic, 38, ikiwa yuko tayari kuhamia Goodis...
NDEGE YA C-130: MABAKI YAKE YAPATIKANA YAKIOLEA KATIKA MAJI CHILE
Mabaki ya ndege yalipatikana yakielea katika eneo ambalo ndege hiyo ilitoweka siku ya Jumatatu Maafisa wa Chile wanasema kwamba wam...