Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amekanusha taarifa zilizodai kuwa alikuwa ametekwa.
WILAYA YA MISSENYI YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WALIMU 597
Halmashauri ya wilaya ya misenyi imeendelea kutoa elimu kwa jamii ikiwa ni pamoja na kuimarisha kamati simamizi za ulinzi na usalama z...
KENYA NAVY ACCUSED OF IGNORING DISTRESS CALLS FROM FISHERMEN WHO SPENT 17 DAYS IN OCEAN
Kenya Navy was also under fire when a mother and her daughter drowned at the Likoni Channel. Photo: KDF. Source: Facebook - The eig...
FAMILIA YANUSURIKA KIFO KISA MASHAMBA
Familia ya mzee Manyanda Luvubu inayoishi katika kijiji cha Kibuye kata ya Bukuba wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma imenusuruka kifo ma...
KENYA: ASKARI POLISI MBARONI KWA TUHUMA ZA BANGI
Maafisa wawili wa jeshi la polisi nchini Kenya walikamatwa siku ya siku kuu ya Krismasi Jumatano, Disemba 25, wakisafirisha kilo 20 z...
TAHARUKI YATANDA KATIKA KIJIJI CHA NGALANGA NJOMBE BAADA YA KUONEKANA KITU CHA AJABU
Baadhi ya wananchi katika Kijiji cha Ngalanga mkoani Njombe, wamejikuta kwenye hali ya taharuki baada ya kushuhudia, kitu cha ajabu amb...
HIKI HAPA KILICHO WAANGAMIZA AZAM FC
Kocha mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa kilichoipa ushindi mbele ya Azam FC ni kujituma kwa wachezaji wake mwanzo mwis...
RIPOTI: MTANDAO WA KUUZA WATOTO HATARI KAMA ‘WA UNGA’, WANA MBINU NA NGUVU
Serikali ya Armenia imeanzisha uchunguzi maalum kufuatia taarifa za kuwepo kwa mtandao mkubwa wa biashara ya watoto wachanga nchini h...
NDEGE ILIYOBEBA ABIRIA 100 YAANGUKA
Imethibitishwa kuwa Watu saba wamefariki huku bado ikiwa haijulikani kama kuna Mtu aliyenusurika baada ya Ndege iliyokuwa imebeba Wat...
MWANAMKE AMUUA SHEMEJI YAKE ALIYEMZABA KOFI KWENYE MAKALIO YAKE
Polisi eneo la Suna Magharibi, kaunti ya Migori nchini Kenya wanamsaka mwanamke mwenye umri wa makamo aliyetoweka baada ya kumdunga kisu ...
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 27 DESEMBA, 2019: XHAKA, RABIOT, DRAXLER, GUEYE, VOLLAND, SANE, HAZARD
Chelsea inamtaka winga a PSG na Julian Draxler, 26, na kiungo wa kati wa Senegal mwenye umri wa miaka 30 Idrissa Gueye. (Star)