Afisa wa Polisi amekamatwa akituhumiwa kumuua kwa kumpiga risasi dereva wa gari aina ya Probox baada ya dereva huyo kukataa kumpa rushw...
VIDEO: LIPUMBA AFICHUA ALICHOZUNGUMZA NA RAIS MAGUFULI KWA MARA YA KWANZA WALIPOKUTANA IKULU 2015
Mwenyekiti wa CUF Taifa, Professa Ibrahim Lipumba, ameweka wazi alichozungumza na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Ma...
ABIRIA ZAIDI YA 50 WANUSURIKA KUFA BAADA YA BOTI KUZIDIWA NA MAWIMBI
Abiria zaidi ya 50 wamenusurika kufa baada ya boti yao iliyokuwa ikisafiri kutoka Kilindoni - Mafia kwenda Nyamisati - Kibiti kuzama ja...
UWANJA WA SIMBA BUNJU KUANZA KUTUMIKA MECHI ZA LIGI
Simba imethibitisha kuwa uwanja wao wa Mo Simba Arena, uliopo Bunju utaanza kutumika kwenye michuano ya ligi kuu ya soka ya wanawake ...
DONE DEAL: YANGA SC IMEMSAJILI YIKPE
Club ya Yanga SC imetangaza kumsajili mshambuliaji wa Ivory Coast Yikpe Dominique kwa mkataba wa miaka miwili.
POLISI WAFUNGUKA 'KUTEKWA' WASAIDIZI WA MNYIKA
Abdulkarimu Muro (Msaidizi Katibu Mkuu CHADEMA) na Saidi Haidani Dereva wa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika. Jeshi la Polisi mk...
WHATSAPP KUTOFANYA KAZI KATIKA SIMU HIZI
Mtandao wa WhatsApp hautofanya kazi kwenye simu janja zinazotumia mfumo wa Window 'Window Smartphone' kufikia Disemba 31, kwa m...
POLICE NET 11 FOR STEALING HOSPITAL'S BUILDING MATERIALS
KATAVI POLICE in Katavi region have arrested 11 people including Mlele District Council five workers for allegedly stealing Mlele D...
DAKTARI AELEZA SABABU YA KIFO CHA FARU FAUSTA
Kwa mujibu wa taarifa ya upasuaji uliofanywa na jopo la madaktari wa wanyamapori na wataalamu wengine wa uhifadhi kutoka taasisi ya u...
WAONYWA JUU YA VITENDO VYA ULEVI KWENYE UANDIKISHAJI WAPIGA KURA
MKURUGENZI wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Gasper Balyomi, amewaonya Waandishi wasaidizi wa Daftari la kudumu la wa...
"HATUTANUNUA TISHETI ZA KUWAGAWIA WANACHAMA... HAKUNA CHA BURE 2020" - DR. BASHIRU ALLY
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt.Bashiru Ally amesema chama hicho hakitatoa tisheti za bure kwa wanachama wake Uchaguzi ...
HUU NDIYO MJI WENYE PAKA WENGI ZAIDI KULIKO WATU
Kundi la paka katika barabara za mji wa Kafr Nabl Baada ya miezi kadhaa ya mashambulio ya mabomu kutoka kwa vikosi vya Syria na Urusi...
UTAFITI: KUTOKULA KUNAREFUSHA MAISHA
Utafiti uliofanywa nchini Marekani, umebaini kuwa kutokula kwa saa 16 hadi 18 au kufunga kula kila baada ya muda fulani ndani ya wiki...
UHURU WILL REMAIN IN POWER AFTER 2022 POLL, SAYS DAVID MURATHE
Former Jubilee Vice-Chairman David Murathe, who says that the recently launched BBI report will shape the 2022 succession politics, att...
US STRIKES IN SOMALIA KILL FOUR MILITANTS
The wreckage of a car that was destroyed during the car bomb attack is seen in Mogadishu on December 28, 2019. PHOTO | ABDIRAZAK HUSSEIN ...
FARU VICKY ATANGAZWA MRITHI WA KITI CHA FARU FAUSTA ‘BIBI WA KRETA’
Kufuatia kifo cha aliyekuwa faru mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Fausta, Mamlaka ya eneo la Ngorongoro (NCAA), imemtangaza faru Vic...
UKRAINE: SERIKALI YABADILISHANA WAFUNGWA NA WAASI
Serikali ya Ukraine na waasi wanaotaka kujitenga mashariki mwa nchi ambao wanaoungwa mkono na Urusi wameanza kubadilishana wafungwa.
KAULI YA BASHIRU ALLY KUHUSU 'KAZI NA BATA'
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally, amewataka wananchi kupuuza kauli ya kufanya kazi na kula Bata ambayo imeratibiw...
WAZIRI MSTAAFU MKULO “SINA MPANGO WA KUGOMBEA UBUNGE”
Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Kilosa, Morogoro Mustafa Mkulo ameshangazwa na baadhi ya watu kudai anataka kugombea ...
TCRA YAZIPIGA FAINI YA BILIONI 5.9 KAMPUNI ZA SIMU KWA KUSHINDWA KUTEKELEZA MASHARTI YA HUDUMA BORA
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imezipiga faini kampuni saba za simu baada ya kushindwa kutekeleza masharti ya leseni na kukidh...