Serikali imewataka Wanafunzi wanaosoma China ambao wako likizo nchini Tanzania, kutorudi nchini humo kwanza hadi pale zitakapopatikan...
PICHA: LUGOLA ATOKA TAKUKURU, AHOJIWA KWA MASAA 6
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemaliza kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jiji...
SPIKA NDUGAI ASEMA WANAMSUBIRI ZITTO KABWE AWAELEZE KWANINI ALIANDIKA BARUA KWA BENKI YA DUNIA KUZUIA MKOPO KWA AJILI YA ELIMU NCHINI
Spika wa Bunge, Job Ndugai Leo Ijumaa Januari 31, 2020 amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benk...
WAZIRI MKUU: SERIKALI HAIWEZI KUFUTA UCHAGUZI WOTE WA SERIKALI ZA MITAA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema licha ya kuwepo kwa ugatuaji wa madaraka (D by D), Serikali za Mitaa bado zina wajibu wa kuwahudumi...
RUGEMALILA AFUNGUKA MAZITO MAHAKAMANI
Mfanyabiashara James Rugemalila, amedai mahakamani kwamba ameandika barua kwenda kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA...
CCM NAYO KUMHOJI KANGI LUGOLA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mara kitamhoji aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola baada ya kutuhumiwa ku...
MTIBWA: TUNAWACHAPA YANGA MAPEMA
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa mchezo wao wa ligi dhidi ya Yanga hawana presha nao kwa kuwa wamejipanga ku...
KISA NYONI, KOCHA SIMBA APANGUA KIKOSI
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderbroeck anatarajia kuivunja safu yake ya ulinzi inayoundwa na Muivory Coast, Pascal Wawa pam...
OFISA ARDHI WILAYANI HAI KIZIMBANI KWA RUSHWA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Hai, Wilbert Mayila ambaye ni ofisa ardhi ...
BABA ATELEKEZA WATOTO 5 ALIOACHIWA
Watoto watano waliotelekezwa na baba yao mzazi, wamekaa ndani nyumbani kwa Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kazima wanapoishi sasa KAT...
MAJIBU YA SERIKALI KUHUSU DHAMANA KWA WANAOTUHUMIWA KWA MAKOSA YA UHUJUMU UCHUMI
Serikali imesema kuwa endapo mbunge ataona kuwa kuna haja ya kubadilishwa sheria ya makosa ya uhujumu uchumi ili watuhumiwa wa makosa h...
PICHA: KANGI LUGOLA ALIVYOWASILI TAKUKURU KWA AJILI YA KUHOJIWA
Mbunge wa Mwibara na Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewasili makao makuu ya ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kup...
MCHUNGAJI ASHAMBULIWA KWA KUSEMA APEWE 10 PERCENT AMFUFUE KOBE BRYANT
Mchungaji Nigel Gaisie wa nchini Ghana ameibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi waliofikiwa na taarifa zake wakimkosoa ...
TEASER: FAST AND FURIOUS 9 KUZINDULIWA RASMI MWAKA HUU (+VIDEO)
Ni Headlines za muendelezo wa msimu wa filamu za Fast and Furious ambapo mwaka huu wanatarajia kutoa toleo la tisa na time hii wa...
NIDA WAMESITISHA KUTOA COPY ZA VITAMBULISHO MTANDAONI
Kama ulikuwa haujaipata hii kutoka NIDA basi nakusogezea hii taarifa mpya kutoka Mamlaka ya Vitambulisho Taifa NIDA ambapo wasitisha z...
KIKAO CHA DHARURA CHAITISHWA, WHO NA KAMATI YAKE KUUTANGAZA CORONA KUWA JANGA LA DUNIA
Shirika la afya la ulimwenguni, WHO litaitisha kikao cha wataalamu kujadiliana iwapo wanaweza kutangaza mlipuko wa virusi vya Corona ...
KONDAKTA MWANAMKE ASIMULIA ALIVYOVULIWA NGUO KUKAGULIWA JINSIA
Leo January 30, 2020 Kuna hii ya kuifahamu ambapo Kondakta wa basi wa kike nchini Kenya ameelezea namna alivyovuliwa nguo na kubaki...
CHADEMA WAZUNGUMZIA MGOMBEA WAO WA URAIS 2020
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, John Mnyika amezungumzia tetesi zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwak...
MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMUUA SHANGAZI KISA KUCHELEWA KURUDI NYUMBANI
Jeshi la polisi mkoani Njombe linamshikilia mwanamke aliyefahamika kwa jina la Apronia Mwinuka(35) mkazi wa mtaa wa Kikula kata ya Maka...
BREAKING: KIKAO CHA WAZAZI SHULE MSINGI MAYILA CHAVUNJA KAMATI YA SHULE
Wazazi na walezi wa mtaa wa Mayila Kata ya Nyihogo katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga wameivunja kamati ya shule ya...
WIZARA YA AFYA YATOA TAMKO JUU YA VIRUSI VYA CORONA
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuwa ugonjwa wa Homa ya mafua makali y...
KAULI YA SAMATTA BAADA YA MCHEZO WA ASTON VILLA DHIDI YA LEICESTER CITY
Ni Headlines za mtanzania Mbwana Samatta ambaye anatarajiwa kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza fainali ya michuano ya Carabao Cup nchi...
KENYA IMEKAMATA MAGUNIA 270 YA KAHAWA YANAYODAIWA KUTOKA TANZANIA
Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Kajiado nchini Kenya limekamata magunia 270 ya kahawa zenye thamani ya Tsh 34 Milioni ambazo zinada...
TCU YAPUNGUZA SIKU ZA UHAKIKI WA VYETI VYA WANAFUNZI
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) katika kipindi cha mwezi Novemba 2015 hadi Novemba 2019 imefanya uhakiki na utambuzi wa uhalali wa ...
HIZI NDO BEI ZA MAZAO TANZANIA
Karibu uweze kufahamu bei za mazao ya chakula nchini Tanzania iliyotolewa na Wizara ya Viwanda Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo...
WAZIRI KABUDI APOKEA HATI ZA MABALOZI WASIO NA MAKAZI TZ
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amekutana na kupokea hati za utambulisho kut...
WANANZENGO WAGOMBANIA KITI KIMOJA MSIBANI MAJENGO KAHAMA MJINI
Kiti pekee kinachotumiwa na wakazi wa mtaa wa Majengo Kahama Mjini kwenye matukio ya misiba Mgogoro baina ya Wananchi wa Mtaa wa Maj...
MAMA SITTA ALIA KWA UCHUNGU BUNGENI WAKATI AKIPOKEA JOHO ALILOKUWA AKILIVAA MAREHEMU MUMEWE
Mke wa aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tisa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Samwel Sitta, Bi Margaret Sitta, leo ameangua...
UONGOZI WA YANGA WAITISHA MKUTANO MKUU WA DHARURA KWA WANACHAMA WAKE
Uongozi wa Yanga SC umeitisha Mkutano Mkuu wa Dharura kwa wanachama wake utakao fanyika tarehe 16/02/2020
TCRA KUJA NA MSAKO KWA WALIOWASAJILIA WENZAO LAINI ZA SIMU
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na watoa huduma, imetangaza kufanya uhakiki wa laini zote za simu zilizosajiliwa ...
LIVE: UPOKEAJI WA HATI ZA UTAMBULISHO WA UBALOZI - IKULU DSM
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anapoea hati za utambulisho wa Ubalozi kutoka katika Mabalozi wateul...
NUKUU 5 ZA KOBE BRYANT ENZI ZA UHAI WAKE
Nje ya mpira wa kikapu Bryant alikuwa moja ya watu maarufu wanaohamasisha jamii kufuatia mafanikio makubwa aliyoyapata kwa kucheza mp...
KINACHOENDELEA KATIKA KESI YA MUME ALIYEMCHOMA MKE WAKE
Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mfanyabishara Hamisi Luongo anayetuhumiwa kumuua Mkewe na kumchoma kwa gunia la mkaa, umeu...
WALIOFARIKI PAMOJA NA KOBE BRYANT KWENYE AJALI YA HELICOPTER WAFIKA 9
Taarifa zinasema waliofariki mpaka sasa ni Kobe Bryant , mwanae Gianna Maria Onore, rafiki wa mwanaye Alyssa ambaye aliambatana na w...
KASI YA MAAMBUKIZO YA KIRUSI CORONA YAONGEZEKA CHINA
Serikali kuu ya China imesema kwamba idadi ya waathirika wa virusi vibaya kabisa vya Corona imeongezeka na kufikia 2,774 kote nchini h...
UBALOZI WA MAREKANI NCHINI IRAQ WASHAMBULIWA TENA
Marekani imeitolea mwito Iraq kulinda majengo yake ya kidiplomasia baada ya ubalozi wake mjini Baghdad kushambuliwa kwa maroketi matat...
”UTARATIBU WA KUZUIA MIKUTANO YA KISIASA ISIYOFUATA SHERIA UKO PALEPALE” NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema, utaratibu wa kuzuia Mikutano ya Kisiasa isiyofuata Sheria na taratibu upo pale...
NYOTA WA ZAMANI WA LA LAKERS KOBE BRYANT AMEFARIKI DUNIA
Nyota wa mpira wa vipaku nchini Marekani Kobe Bryant amefariki dunia pamoja na wenzake wanne kwenye ajali ya helikopta iliyotokea Cali...
TETEMEKO LA ARDHI LAUA 6 NA KUJERUHI 225
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.7 Kipimo cha Richa limetokea karibu na Mji wa Sivrice, Mashariki mwa Mkoa wa Elazig na kuua takri...
BABA MBARONI KWA KUMBAKA MTOTO WA KUMZAA
Ezron Ndone mkazi wa Mtaa wa Joshoni Kata ya Mji Mwema mkoani Njombe anadaiwa kumbaka mtoto wake wa miaka 11 anayesoma darasa la 5,kw...
MAHAKAMANI KESI YA KINA MBOWE: MWANAFUNZI “POLISI WALICHUKUA 12,700 YANGU”
Mwanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT), Lukola Kahumbi ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Askari Poli...
MBOWE NA VIONGOZI 8 CHADEMA SASA WANASUBIRIA HUKUMU
Viongozi 9 wa CHADEMA, akiwemo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisu...
PAPAA MWINYI ZAHERA AELEZA ALIVYOONDOLEWA YANGA KISA MKWASA
Zahera amesema hayo alipokuwa akihojiwa, ambapo amesema alikubali kuachana na Yanga baada ya kuambiwa kuwa awe tayari nafasi ya kocha...
WIZARA YAZUNGUMZIA KUHUSU VIKWAZO VYA MAREKANI
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kuwa hadi sasa hivi haijapokea waraka wowote wa Kidplomasia kutoka...
IGP SIRRO ATOA MAAGIZO KWA MAKAMANDA KUHUSU MAUAJI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, amekutana na Makamanda wa Polisi wa Mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa, kwa lengo la kuweka...
FAHAMU MECHI 15 ZA ASTON VILLA ZINAZOMTEGEMEA MBWANA SAMATTA
Klabu ya Aston Villa imethibitisha kumsajili mshambuliaji Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu kuitumikia klabu hiyo had...
BEKA TITLE AWATANGAZIA VITA MR BLUE, NYANDU TOZZY
Kuanzia upande wa kushoto pichani Beka Title, kati Nyandu Tozzy na kulia ni Mr Blue Msanii wa kundi la B.O.B Micharazo Beka Title, ...
WAFANYAKAZI WANNE GREEN MILES WAKAMATWA NA POLISI
Wafanyakazi wanne wa kampuni ya uwindaji ya Green Miles iliyoondolewa katika kitalu cha Lake Natron(east) wilayani Longido wanashikil...
MAYWEATHER KUTWANGANA NA McGREGOR NA KHABIB
BONDIA Floyd Mayweather ameibuka na kuthibitisha kwamba atapambana na Conor McGregor na Khabib Nurmagomedov katika pambano la kurejea...
EKODI YA SVEN SIMBA YAMPOTEZA UCHEBE
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameipoteza rekodi ya mtangulizi wake, Patrick Aussems kwenye mechi za Kanda ya Ziwa kwa kusepa...