} });
 
SERIKALI YASEMA HAKUNA MWENYE CORONA TANZANIA
SERIKALI YASEMA HAKUNA MWENYE CORONA TANZANIA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amezungumza na Wanahabari Dar es Salaam leo Feb 29, 2020 na...

Read more » Soma zaidi »

WAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDHA
WAKANDARASI WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MIRADI YA REA KWA WAKATI KUKATWA FEDHA

KAIMU Mkurugenzi wa Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amos Maganga amewaonya wakandarasi wanaozembea katika utekeleza...

Read more » Soma zaidi »

MKUU WA UJASUSI WA JESHI LA DRC AFARIKI DUNIA
MKUU WA UJASUSI WA JESHI LA DRC AFARIKI DUNIA

Mkuu wa idara ya ujasusi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Delphin Kahimbi amefariki jana Ijumaa baada ya kupata mshituko ...

Read more » Soma zaidi »

KIM ATAKA JUHUDI KALI ZAIDI KUIZUIA CORONA
KIM ATAKA JUHUDI KALI ZAIDI KUIZUIA CORONA

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametaka juhudi madhubuti zaidi katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona, akisema kutakuwa ...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YATOA TAMKO KWA UHAMIAJI, NIDA KUHUSU WAHAMIAJI HARAMU MISENYI
SERIKALI YATOA TAMKO KWA UHAMIAJI, NIDA KUHUSU WAHAMIAJI HARAMU MISENYI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni ameitaka idara ya uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA),k...

Read more » Soma zaidi »

LIPUMBA: HATUTASUSIA UCHAGUZI TENA, TUTAWEKA WAGOMBEA KOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI
LIPUMBA: HATUTASUSIA UCHAGUZI TENA, TUTAWEKA WAGOMBEA KOTE TANZANIA BARA NA VISIWANI

Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa pamoja na  Demokrasia Kuyumba  nchini lakini hawatasusia uch...

Read more » Soma zaidi »

MBOGAMBOGA NA MATUNDA KUPATA SOKO KATIKA NCHI ZA ULAYA
MBOGAMBOGA NA MATUNDA KUPATA SOKO KATIKA NCHI ZA ULAYA

Makampuni kumi na tano (15) yaliojumuisha wazalishaji pamoja na wasafirishaji wa bidhaa za Mbogamboga na Matunda wajiongezea fursa kat...

Read more » Soma zaidi »

KWACHA NA SHILINGI YA TANZANIA ZARASIMISHWA MPAKANI TUNDUMA NA NAKONDE
KWACHA NA SHILINGI YA TANZANIA ZARASIMISHWA MPAKANI TUNDUMA NA NAKONDE

Benki Kuu ya Tanzania na Benki Kuu ya Zambia zimerasimisha matumizi ya Kwacha ya Zambia na shilingi ya Tanzania kwenye mpaka wa Tundum...

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UJERUMANI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA UHIFADHI WA MALIASILIA NCHINI
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UJERUMANI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA UHIFADHI WA MALIASILIA NCHINI

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Ujerumani katika kukabiliana na...

Read more » Soma zaidi »

WANANCHI WASHAURIWA KUTOCHAKAZA NOTI NA SARAFU
WANANCHI WASHAURIWA KUTOCHAKAZA NOTI NA SARAFU

Gavana  wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Frolens Luoga amewashauri wananchi kutumia vyema fedha bila kuziharibu wala kuzichakaz...

Read more » Soma zaidi »

DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WANAOFANYA VITENDO VYA KIKATILI
DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WANAOFANYA VITENDO VYA KIKATILI

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kukamatwa kwa walimu mkoani Njombe watakaobainika kuwafanyia vitendo vya kikatiki wanaf...

Read more » Soma zaidi »

SERIKALI KUKATAA RUFAA KUPINGA HUKUMU YA ATCL KULIPA BILIONI 69
SERIKALI KUKATAA RUFAA KUPINGA HUKUMU YA ATCL KULIPA BILIONI 69

Serikali imesema imeanza mchakato wa kukata rufaa kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Uingereza dhidi ya Shirika la Ndege la Tan...

Read more » Soma zaidi »

AFRIKA KUSINI KUWAREJESHA RAIA WAKE WALIOPO WUHAN, CHINA
AFRIKA KUSINI KUWAREJESHA RAIA WAKE WALIOPO WUHAN, CHINA

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameagiza kurejeshwa nchini humo raia 132 wa Taifa  hilo  waliopo kwenye mji wa Wuhan nchini Chin...

Read more » Soma zaidi »

VIRUSI HATARI VYA CORONA VYATUA NIGERIA
VIRUSI HATARI VYA CORONA VYATUA NIGERIA

Serikali ya mji wa Lagos nchini Nigeria imethibitisha kuwa, kesi ya kwanza ya maambukizi ya virusi vya korona (COVID-19) imeripotiwa k...

Read more » Soma zaidi »

MGUMBA:TANZANIA INA UTOSHELEVU WA CHAKULA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 119
MGUMBA:TANZANIA INA UTOSHELEVU WA CHAKULA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 119

Naibu waziri wa kilimo nchini Omary Mgumba amesema,Tanzania bado ina hali nzuri ya uwepo wa chakula kwa kuwa mpaka leo taifa lina utos...

Read more » Soma zaidi »

MWANAMKE ATENGWA KISA ALIGOMA KUSHIRIKI MSIBA
MWANAMKE ATENGWA KISA ALIGOMA KUSHIRIKI MSIBA

Mwanamke mmoja mwenye umri wa zaidi ya miaka 55, Mkazi wa Kijiji cha Lwemo Kata ya Kagu, Halmashauri ya Wilaya ya Geita ameibuka katik...

Read more » Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS WA IRAN ATHIBITISHWA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA
MAKAMU WA RAIS WA IRAN ATHIBITISHWA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA CORONA

Makamu wa Rais wa Iran anayeshughulikia mambo ya wanawake na familia Bibi Masoumeh Ebtekar jana amethibitishwa kuambukizwa virusi vya ...

Read more » Soma zaidi »

JESHI LA POLISI KILIMANJARO LATAJA SABABU ZA KUMKAMATA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE
JESHI LA POLISI KILIMANJARO LATAJA SABABU ZA KUMKAMATA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Salum Hamdun amesema mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekamatwa na polisi baada ya kutoa m...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 29 FEBRUARI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 29 FEBRUARI, 2020

Read more » Soma zaidi »

WANAJESHI 33 WA UTURUKI WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAKALI HUKO SYRIA
WANAJESHI 33 WA UTURUKI WAUAWA KATIKA MAPIGANO MAKALI HUKO SYRIA

Wanajeshi 33, wa Uturuki wameuawa katika mapigano kwenye mkoa wa Idlib nchini Syria, hii ikiwa ni kulingana na shirika la habari la se...

Read more » Soma zaidi »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA ARDHI YA KILIMO KWA AJILI YA VIJANA
HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA ARDHI YA KILIMO KWA AJILI YA VIJANA

Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba ameziagiza halmashauri zote nchini kutenga ardhi ya kutosha kwa ajili ya vijana kuzalisha mazao ya...

Read more » Soma zaidi »

MALAWI YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI
MALAWI YAHALALISHA MATUMIZI YA BANGI

Nchini Malawi bangi itatumiwa kutengeneza dawa na vitambaa vya nguvu, mafuta yatokanayo na mimea, karatasi na bidhaa nyingine. Mala...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU
WAZIRI SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU POLISI KUKAMATA WANANCHI, BODABODA BILA KUFUATA UTARATIBU

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amepiga marufuku ukamataji wa wananchi, bodaboda pamoja na kufanya operesheni ya...

Read more » Soma zaidi »

BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA UKEREWE KUANZA KUTENGENEZWA
BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA MVUA UKEREWE KUANZA KUTENGENEZWA

Naibu waziri ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Mhe, Josephat Kandege ameelekeza Wakala wa Barabara za Viji...

Read more » Soma zaidi »

SUGU AFUNGUKA BAADA YA MADIWANI WAKE 11 WA CHADEMA JIJINI MBEYA KUTIMKIA CCM
SUGU AFUNGUKA BAADA YA MADIWANI WAKE 11 WA CHADEMA JIJINI MBEYA KUTIMKIA CCM

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amemtumia salamu katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally akibainisha kuwa ma...

Read more » Soma zaidi »
 
Top