} });
 
VISHOKA SONGWE WAHUKUMIWA KIFUNGO AU FAINI
VISHOKA SONGWE WAHUKUMIWA KIFUNGO AU FAINI

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya Ileje mkoani Songwe amewahukumu adhabu ya kifungo cha miaka 5 jela au faini ya Shilingi  laki 8  vishoka ...

Read more » Soma zaidi »

WATU 101 WAKIWEMO WAFUNGWA 72 WAAMBUKIZWA CORONA RWANDA
WATU 101 WAKIWEMO WAFUNGWA 72 WAAMBUKIZWA CORONA RWANDA

Kwa mara nyingine tena Rwanda imetangaza rekodi kubwa ya watu walioambukizwa virusi vya Corona, baada ya watu 101 wakiwemo wafungwa 72 wa ge...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA BAADA YA KUREJESHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA BAADA YA KUREJESHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS
Read more » Soma zaidi »

KAMPUNI YA VEGRAB ORGANIC FARMING LTD YAZINDUA SOKO LA PILIPILI KICHAA SINGIDA
KAMPUNI YA VEGRAB ORGANIC FARMING LTD YAZINDUA SOKO LA PILIPILI KICHAA SINGIDA

Mkurugenzi wa Kampuni ya  Vegrab Organic Farming LTD, Gladness Nyange akizungumzia kilimo cha pilipili kichaa  wakati wa uzinduzi wa zao hil...

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BIL. 592.57
TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BIL. 592.57

Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) limeipatia serikali ya Tanzania mkopo wa Tsh. Bilioni 592.57 kwa ajili ya kutekeleza miradi mitatu ya...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RC MAKONDA ATINGA JIMBONI KWA MNYIKA KUKABIDHI ''MBUNGE WENU HAWAFAI''
LIVE: RC MAKONDA ATINGA JIMBONI KWA MNYIKA KUKABIDHI ''MBUNGE WENU HAWAFAI''
Read more » Soma zaidi »

CHINA YAIBUKA MAFUA MAPYA YA NGURUWE, HATARINI KUAMBUKIZA BINADAMU
CHINA YAIBUKA MAFUA MAPYA YA NGURUWE, HATARINI KUAMBUKIZA BINADAMU

Aina mpya ya mafua ya nguruwe ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini China.  Kwa mujibu wa ripoti mp...

Read more » Soma zaidi »

ALIYETAKA MKEWE AMRUDISHIE FIGO ALIYOMPA BAADA YA KUDAI TALAKA ‘AKWAA KISIKI’
ALIYETAKA MKEWE AMRUDISHIE FIGO ALIYOMPA BAADA YA KUDAI TALAKA ‘AKWAA KISIKI’

Mahakama nchini Marekani imekataa ombi la mwanaume mmoja aliyemtaka mkewe amrudishie figo yake aliyompa mwaka 2001, baada ya mkewe huyo kuom...

Read more » Soma zaidi »

PROF. PALAMAGAMBA KABUDI 'AUTAKA UBUNGE' KILOSA
PROF. PALAMAGAMBA KABUDI 'AUTAKA UBUNGE' KILOSA

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof. Palamagamba Kabudi amesema yupo tayari kuwatumikia wananchi wa jimbo la kilosa iwap...

Read more » Soma zaidi »

IRAN YATOA WARANTI YA KUKAMATWA RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP
IRAN YATOA WARANTI YA KUKAMATWA RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP

Iran imetoa waranti wa kukamatwa Rais wa Marekani Donald Trump na wanajeshi 35 wa Marekani, ikiwa ni pamoja na maafisa kutoka taifa hilo kwa...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RAIS MHE. DKT JOHN P. MAGUFULI AKIRUDISHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DODOMA
LIVE: RAIS MHE. DKT JOHN P. MAGUFULI AKIRUDISHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, akirudisha fomu ya kugombea nafasi ya urais kupitia chama chake ch...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMANNE 30 JUNI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMANNE 30 JUNI, 2020

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA YATIA SAINI MIRADI YA BILIONI 590
TANZANIA YATIA SAINI MIRADI YA BILIONI 590

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imesaini mikataba mitatu yenye thamani ya Zaidi ya TSh. Bilioni 590 kwa ajili ya kub...

Read more » Soma zaidi »

RELI YA SGR KUFIKA MWANZA, ARUSHA
RELI YA SGR KUFIKA MWANZA, ARUSHA

Rais Dkt. John Magufuli amesema Serikali yake imeamua kuboresha miundombinu nchini ikiwepo ujenzi wa reli ya kisasa kwaajili ya treni ya ume...

Read more » Soma zaidi »

MAGAIDI WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI PAKISTAN
MAGAIDI WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI PAKISTAN

Watu wasiopungua 10 wakiwemo magaidi wanne wameuawa katika shambulizi dhidi ya soko la hisa la Pakistan, lililoko katika mji wa Bandari wa K...

Read more » Soma zaidi »

NIMEISAMBARATISHA CHADEMA UKONGA, SASA NAHAMIA TARIME VIJIJINI- MWITA WAITARA
NIMEISAMBARATISHA CHADEMA UKONGA, SASA NAHAMIA TARIME VIJIJINI- MWITA WAITARA

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara, amesema kuwa mpaka sasa hivi amekwishamaliza kazi kubwa ndani ya Jiji la Dar es Salaam ya kukisambar...

Read more » Soma zaidi »

TRUMP ATUPIWA LAWAMA KAMPENI NA UBAGUZI WA RANGI
TRUMP ATUPIWA LAWAMA KAMPENI NA UBAGUZI WA RANGI

Rais wa Marekani Donald Trump ametupiwa lawama baada ya kutuma video mtandaoni inayoonyesha mmoja wa wafuasi wake akipaza sauti na kusema “n...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI ATOA SIKU 7 WANANCHI MWANZA KUWEKEWA UMEME
WAZIRI KALEMANI ATOA SIKU 7 WANANCHI MWANZA KUWEKEWA UMEME

Ukaguzi wa Kasi ya kusambaza Umeme chini, hivi karibuni umechukua sura mpya baada ya Waziri wa Nishati kuanza kutembelea nyumba za wakazi ta...

Read more » Soma zaidi »

CHINA NAYO YAGEUKIA MITISHAMBA KUTIBU CORONA
CHINA NAYO YAGEUKIA MITISHAMBA KUTIBU CORONA

Wakati wanasayansi wakipambana kutengeneza chanjo ya virusi vya corona, China nayo imetengeneza dawa ya asili inayojulikana kama 'Tradit...

Read more » Soma zaidi »

 LIVE LIVE: MHE RAIS DKT JOHN P. MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAHANDAKI YA RELI YA SGR
LIVE LIVE: MHE RAIS DKT JOHN P. MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI WA UJENZI WA MAHANDAKI YA RELI YA SGR
Read more » Soma zaidi »

JPM: RC WA MOROGORO NA WAZIRI LUKUVI WAPEWA MAAGIZO MAZITO NA JPM
JPM: RC WA MOROGORO NA WAZIRI LUKUVI WAPEWA MAAGIZO MAZITO NA JPM
Read more » Soma zaidi »

SERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA MATUMIZI YA BARAKOA KWA WANAFUNZI
SERIKALI YATOA UFAFANUZI JUU YA MATUMIZI YA BARAKOA KWA WANAFUNZI
Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMATATU 29 JUNI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMATATU 29 JUNI, 2020
Read more » Soma zaidi »

JPM AIPONGEZA DAWASA KUJENGA MIRADI KWA FEDHA ZA NDANI
JPM AIPONGEZA DAWASA KUJENGA MIRADI KWA FEDHA ZA NDANI

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameupongeza uongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kwa k...

Read more » Soma zaidi »

MAALIM SEIF ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
MAALIM SEIF ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza nia ya kugombea Zanzibar, amesema atachukua fomu Julai 4.   Amewaomba w...

Read more » Soma zaidi »

 LIVE LIVE: RC MAKONDA ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKONGO DSM
LIVE LIVE: RC MAKONDA ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKONGO DSM
Read more » Soma zaidi »

MBUNGE MTATURU ATOA MSAADA WA MABATI, PIKIPIKI, TENKI LA MAJI KUSAIDIA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI
MBUNGE MTATURU ATOA MSAADA WA MABATI, PIKIPIKI, TENKI LA MAJI KUSAIDIA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI

 Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki,  Mhe. Miraji Mtaturu  akitoa msaada wa tenki la maji.

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AMTUMBUA HADHARANI KATIBU TAWALA WA KISARAWE, “....ANATUHUMIWA KUCHUKUA HATA WAKE ZA WATU”
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA HADHARANI KATIBU TAWALA WA KISARAWE, “....ANATUHUMIWA KUCHUKUA HATA WAKE ZA WATU”

Rais Magufuli amemtumbua hadharani Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe (DAS), Mtela Mwampamba na kumteua Mwanana Msumi kushika nafasi hiyo h...

Read more » Soma zaidi »

UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI MKUU MALAWI, TAYARI RAIS MPYA LAZARUS CHAKWERA AMEAPISHWA
UPINZANI WASHINDA UCHAGUZI MKUU MALAWI, TAYARI RAIS MPYA LAZARUS CHAKWERA AMEAPISHWA

Mwanga wa siasa ya Lazarus Chakwera ulifufuliwa baada ya mahakama kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwaka jana

Read more » Soma zaidi »

LIVE NOW TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA SC KIPINDI CHA PILI
LIVE NOW TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA SC KIPINDI CHA PILI
Read more » Soma zaidi »

WANAHISA BENKI YA CRDB KUPATA ONGEZEKO LA ASILIMIA 112.5 LA GAWIO, SHILINGI BILIONI 44.4 KUTOLEWA
WANAHISA BENKI YA CRDB KUPATA ONGEZEKO LA ASILIMIA 112.5 LA GAWIO, SHILINGI BILIONI 44.4 KUTOLEWA

Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha gawio la shilingi 17 kwa hisa lililopendekezwa na Bodi ya Wakurugenzi ya benki hiyo katika Mkutano M...

Read more » Soma zaidi »

WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KUANZA KUFANYA MTIHANI WAO WA MWISHO KESHO
WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA KUANZA KUFANYA MTIHANI WAO WA MWISHO KESHO

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde K atibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde, ...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA - KISARAWE (+PICHA)
RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA - KISARAWE (+PICHA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanua Dkt John Pombe Magufuli amezindua mradi wa maji  wa Kibamba Kisarawe uliotekelezwa na Mamlaka ha Maj...

Read more » Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI, AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA UHODARI WAKE WA KUCHAPA KAZI
RAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO KWA MKANDARASI, AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA UHODARI WAKE WA KUCHAPA KAZI

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group Corporation kutoka China aliyesaini mkataba ...

Read more » Soma zaidi »

WALIOKACHA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI KUANZA KUDAIWA KODI JULAI MOSI
WALIOKACHA KUCHUKUA HATI ZA ARDHI KUANZA KUDAIWA KODI JULAI MOSI

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema kuanzi Julai Mosi mwaka huu wananchi wote wasiochukua hati z...

Read more » Soma zaidi »

ZIMBABWE YASITISHA MIAMALA YA FEDHA KWA SIMU
ZIMBABWE YASITISHA MIAMALA YA FEDHA KWA SIMU

Serikali ya Zimbabwe imesitisha ghafla huduma zote za pesa kwa njia ya simu za mkononi ikisema imechukua hatua hiyo ili kukabiliana na viten...

Read more » Soma zaidi »

NTOBI AJITOSA UBUNGE SHINYANGA MJINI
NTOBI AJITOSA UBUNGE SHINYANGA MJINI

Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ngokolo Manispaa ya Shinyanga (2015-2020) ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Madiwani CHADEMA Kanda ya Sereng...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 28 JUNI, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI 28 JUNI, 2020
Read more » Soma zaidi »

MKURUGENZI TAKUKURU AMUONDOA BOSS ARUSHA ALIEONYWA NA JPM
MKURUGENZI TAKUKURU AMUONDOA BOSS ARUSHA ALIEONYWA NA JPM

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Brigedia Jenerali, John Mbungo amefanya mabadililo ya vituo vya kazi...

Read more » Soma zaidi »

LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA MIRADI MIKUBWA YA KIHISTORIA MKOANI PWANI
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA MIRADI MIKUBWA YA KIHISTORIA MKOANI PWANI

Leo Juni 28, 2020, Rais Magufuli, anafanya ziara ya Kikazi Mkoani Pwani ambapo anazindua miradi mbalimbali ya Serikali inayotekelezwa katika...

Read more » Soma zaidi »

JAJI MKUU AWAFANYIA USAJILI MAWAKILI KWA NJIA YA MTANDAO
JAJI MKUU AWAFANYIA USAJILI MAWAKILI KWA NJIA YA MTANDAO

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa mara ya kwanza amewafanyia usaili wahitimu wa taaluma ya Sheria kwa ajili ya kuwapo...

Read more » Soma zaidi »

TANZANIA KUSISADIA BURUNDI KUWA MWANACHAMA WA SADC
TANZANIA KUSISADIA BURUNDI KUWA MWANACHAMA WA SADC

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Tanzania itaendelea kuisaidia nchi ya Burundi ili ifanikiwe katika adhma yake ya kutaka kuwa mwanachama...

Read more » Soma zaidi »

WAKURUGENZI HALMASHAURI WATAKIWA KUWATUMIA WATAALAMU WA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA
WAKURUGENZI HALMASHAURI WATAKIWA KUWATUMIA WATAALAMU WA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wakurugenzi wa halmashauri nchini kuwatumia wataalam wa sekta ya ardh...

Read more » Soma zaidi »

WAZIRI KAIRUKI APONGEZA KAMPUNI YA QWIHAYA KWA UWEKEZAJI KIGOMA
WAZIRI KAIRUKI APONGEZA KAMPUNI YA QWIHAYA KWA UWEKEZAJI KIGOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu -Uwekezaji  Angellah  Kairuki  ameeleza  kufurahishwa na kasi ya uwekezaji inayofanywa na  kampuni ya uc...

Read more » Soma zaidi »
 
Top