Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Irene James mwenye umri wa miaka 36 amefikishwa mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa kuwafan...
MAGEREZA YARUHUSU WANANCHI KUANZA KUTEMBELEA WAFUNGWA
Na Faustine Gimu Galafoni,Dodoma. kufuatia kupungua kwa maambukizi ya virusi vya COVID 19 Jeshi la Magereza nchini limefuta masharti ya kata...
WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA POLISI KUKAA MGUU SAWA UCHAGUZI MKUU, AIPONGEZA RUFIJI KUSAMBARATISHA WAHALIFU
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amelitaka Jeshi la Polisi kudhibiti vurugu zozote au uvunjifu wa sheria hasa katika ki...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA
KUPATIKANA NA SILAHA [GOBOLE] BILA KIBALI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia AMANI MPINDULE [68] Mkazi wa Lualaje kwa tuhuma za ku...
BOTI YAUA WATU 10 KUJERUHI 100 BAADA YA KUGONGA MWAMBA ZIWA TANGANYIKA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema kuwa watu 10 wamefariki dunia huku wengine 100 wakiokolewa, baada ya Boti iliyok...
CORONA KENYA YAPAMBA MOTO, VYUO VIKUU KUFUNGULIWA 2021
Waziri wa Elimu nchini Kenya Prof.George Magoha ametangaza kutofunguliwa kwa Vyuo Vikuu nchini humo mwaka huu kutokana na ongezeko la maambu...
MCHUJO CCM, WAJUMBE KAZINI LEO
Mchakato wa mchujo kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioomba kugombea Udiwani, unaanza leo kwa vikao vya chama hicho vya Kata ku...
MAKUNDI MBALIMBALI KUNUFAIKA NA NANENANE
Katika kuelekea kuanza kwa maonesho ya nanenane August mosi makundi ya wakulima,wafugaji na Uvuvi wameaswa kuyatumia kujifunza mbinu mpya z...
VIWANDA VIPYA 16 KUJENGWA KWAAJILI YA VIFAA TIBA
Nchi ya Tanzania katika kuhakikisha inatimiza azma ya kuwa nchi ya viwanda na kujitosheleza kwa bidhaa ndani ya nchi imedhamiria kuwekeza kw...
WAFANYABIASHARA WAPIGWA MARUFUKU UINGIZAJI WA BIDHAA ZISIZO NA UBORA
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Viwango nchini (TBS), Hamisi Sudi amepiga marufuku uingizwaji wa bidhaa za vyakula ambazo hazijadhibitis...
NEC YAFUNGUA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU
Kamishna kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Asina Omar amefungua mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wa Uchaguzi leo Julai 30, 2020 kati...
MAAMBUKIZI YA HOMA YA INI YAONGEZEKA
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema maambukizi ya homa ya ini yamepanda kutoka asilimia 4.0 mpaka...
TUNDU LISSU AKWAMA KUHUDHURIA KESI YAKE MAHAKAMANI
Kesi ya uchochezi inayomkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu leo Julai 30, 2020, imeahirishwa hadi Agosti 26, baada ya mtuhumiwa ...
WAFANYABIASAHARA WAWILI KORTINI KWA KUTAKATISHA BILIONI 5.5
Wafanyabiasahara wawili wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka saba ikiwamo kukwepa kodi na kutakatisha Sh. bilioni 5.5. Washtakiw...
MAKTABA YA KISASA KUJENGWA LUPASO
Maktaba ya kisasa kujengwa katika shule ya msingi Lupaso ambayo amesoma Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin Mkapa ili kumuenzi kio...
KONDOMU ZILIZOKOSA VIWANGO ZAONDOLEWA SOKONI
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa tiba (TMDA), Adam Fimbo amebainisha kuwa mwaka wa fedha 2019/2020 mamlaka imeondoa kondomu 17,0...
POLISI WALIVYOZUIA NDOA YA MWANAFUNZI KATAVI
Jeshi la polisi mkoa wa katavi limewakamata watuhumiwa 15 wakiwemo wazazi wawili kwa kumwozesha mwananfunzi wa darasa la tano anayesoma shul...
WATANZANIA WATAKIWA KUEPUKA HABARI ZA UZUSHI
Watanzania wametakiwa kulisemea mambo mazuri Taifa lao ili kuwa na kidiplomasia nzuri na Mataifa mengine hususani wakati huu ambapo Taifa li...
RAIS MAGUFULI: MKAPA ALIKATAA KUZIKWA DODOMA
Rais John Magufuli amesema rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa alipenda nyumbani kwao Masasi ndiyo maana alikataa kuzikwa katika ...
MWIJAKU AFIKISHWA MAHAKAMANI AKITUHUMIWA KUSAMBAZA PICHA ZA NGONO
Msanii wa uigizaji nchini Tanzania, Mwemba Burton (35) maarufu Mwijaku amepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es ...
KATIBU MKUU KILIMO KUSAYA AIPONGEZA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Kusaya ameipongeza Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) kwa kuendelea kuimarisha na kuendeleza...
WILAYA BUKOBA YAPUNGUKIWA MADARASA 1,297 YA SHULE ZA MSINGI
Vyumba vya madarasa 1,297 vinahitajika kwenye shule za msingi kwa Halmashauri ya wilaya Bukoba mkoani kagera ili kufikia mahitaji ya vyumba...
MALAYSIA: WAZIRI MKUU MSTAAFU AHUKUMIWA MIAKA 12 JELA KWA UFISADI
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amekutwa na hatia katika mashtaka yote saba ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili, na kuhukumiwa ...
TANESCO YAKUTANA NA WACHIMBAJI MADINI, WAMILIKI MASHINE KUTOA ELIMU YA USALAMA NA MATUMIZI BORA YA UMEME
Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu Mwakitolyo, pamoja na wamiliki wa mashine za kusaga na kukoboa nafaka Salawe na Solwa, wilayani Shiny...
HII HAPA RATIBA YA MAZISHI YA,RAIS MSTAAFU HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA LEO JUMATANO JULAI 29, 2020 KIJIJINI LUPASO MASASI
Ratiba ya Mazishi ya Hayati Benjamin William Mkapa,Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Leo Siku ya Jumatano Tarehe 29 Julai 2020 Kijijini Lupaso M...
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAONGOZA MAZISHI YA BENJAMIN MKAPA, LUPASO, MASASI - 29/07/2020
Fuatilia mbashara mazishi ya marehemu Benjamin Mkapa (Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Tanzania) yanayofanyika kijijini kwake Lupaso, katika Wi...
CHAMA CHA WALEMAVU DODOMA CHASEMA HAYATI MKAPA ALIKUWA NA MCHANGO KUANZISHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA HUDUMA YA WATU WENYE ULEMAVU YA MWAKA 2004
Na Faustine Gimu Galafoni - Dodoma Chama cha Watu wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma (CHAWATA) Kimesema kuwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya ...
MATUMIZI YA TEKNOLOJIA ZA KISAYANSI KUPUNGUZA GHARAMA YA SENSA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
Na Imani Anyigulile - Mbeya Matumizi teknolojia mpya za kisayansi yanatarajiwa kupunguza gharama ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ...
"WAJUMBE NDIYO WAKATA UMEME" - JIKE SHUPA
Video Vixen na mwanamitandao Zena Haji "Jike Shupa" amesema anagombea Udiwani Kwa Mpangale iliyopo Buza Wilaya ya Temeke kupitia C...
MKAPA NI BABA WA DEMOKRASIA MAGUFULI ASIMULIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli amemuelezea rais wa Tanzania wa awamu ya tatu hayati Benjamin William Mkapa kama b...