Maelfu ya wafuasi wa upinzani wameandama mjini Minsk wakishinikiza kuondoka kwa utawala wa kiongozi wa kiimla wa Belarus Alexander Lukashe...
Divine Radio Live
AOUN AKIRI KUNA HAJA YA KUUBADILI MFUMO – LEBANON
Rais wa Lebanon Michel Aoun amekiri haja ya “kuubadilisha mfumo” wa kisiasa nchini humo na kutoa wito wa kutangazwa taifa lisiloegemea dini....
MAMA WA MIAKA 42 AKAMATWA AKIDAIWA KUBAKA
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 42 anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini Kenya kwa tuhuma za kumbaka mvulana anayesoma darasa la nane...
VIDEO: MWANAFUNZI ALIPUKIWA NA BOMU ALILOLIOKOTA
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi wa jeshi la Polisi James Manyama Mtoto mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kiji...
SIMBA BINGWA NGAO YA HISANI, YAINYUKA NAMUNGO MABAO 2:0
Klabu ya simba, Agosti 30 imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Namungo FC na kufanikiwa kutwaa taji la Ngao ya Jamii kwenye mchezo ul...
VIGOGO YANGA SC YAWACHAPA AIGLE NOIR 2-0 KILELE CHA WIKI YA MWANANCHI
Vigogo wa soka Tanzania, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Burundi, Aigle Noir katika mchezo wa kirafiki usi...
RAIS MUSEVENI ATANGAZA SIKU YA KITAIFA YA MAOMBI KUHUSU CORONA
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya Covid-19 itakayofanyika jumamosi Agosti 29, 2020. Amesema...
ALIYEKUWA RAIS WA MALI IBRAHIM BOUBACAR KEITA AACHILIWA HURU NA WANAJESHI WALIOASI
Aliye kuwa rais wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, aliyekamatwa Agosti 18 na kundi la wanajeshi lililofanya mapinduzi, ameachiliwa huru jana...
WAZIRI MKUU KUJIUZULU KUTOKANA NA SABABU ZA KIAFYA – JAPAN
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe (65), anatarajia kutangaza nia yake ya kujiuzulu leo Ijumaa Agosti 28, kutokana na matatizo ya kiafya. ...
KALEMANI: UFARANSA, NORWAY MMETUWEZESHA KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME
Serikali ya Tanzania imezishukuru nchi za Ufaransa na Norway kwa mchango wao mkubwa walioutoa na wanaoendelea kuutoa katika kuwezesha utekel...
TUNDU LISSU AFUATA GARI LAKE POLISI LILILOSHAMBULIWA SEPTERMBER 7, 2017
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gar...
MTU WA KWANZA DUNIANI KUFIKISHA UTAJIRI WA DOLA BILIONI 200
Kwa mujibu wa jarida ya Forbes Mkurugenzi wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos anakuwa mtu kwa kwanza duniani kuwa na utajiri wa Dola Bilio...
MAHAKAMA YATHIBITISHA GBAGBO HANA SIFA KUWANIA URAIS
Mahakama nchini Ivory Coast imethibitisha kuwa Laurent Gbagbo hana nafasi ya kuwania kiti cha uras katika uchaguzi wa taifa hilo unaotara...
RWANDA YAMSAKA ‘MPELELEZI WAKE’ KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA KIMBARI
Serikali ya Rwanda imetoa hati ya kimataifa ya kumkamata aliyekuwa mpelelezi wa nchi hiyo, Aloys Ntiwiragabo kwa tuhuma za kuhusika na mau...
VIDEO: NEC YAFAFANUA TAARIFA ZA WAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI KUPITA BILA KUPINGWA
Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) leo Agosti 26, imezungumza na wanahabari kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo uchaguzi, ambapo kubwa zaidi ...
ASLAY AFUNGUKA KUHUSU KUZUSHIWA KIFO
Msanii wa Bongfleva Aslay Isihaka amenyoosha maelezo kwa kutaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, kuvichukulia hatua baadhi ya vyombo ...
WANAOTAKA KUJIUNGA VYUO WATAHADHARISHWA
Katibu Mtendaji wa TCU Prof. Charles Kihampa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imewatahadharisha wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na wa...
ACT WAZALENDO KUWEKA PINGAMIZI LA WAGOMBEA NEC
Meneja wa ACT Wazalendo Emmanuel Lazaro akizungumza na waandishi wa habari Chama Cha ACT Wazalendo kimesema tayari kimeweka mapingamizi kwa ...
WAZIRI HAMISI KIGWANGALLA NA SOMO LA MAPENZI 101
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla ametoa somo kuhusiana na suala zima la mahusiano kwa kusema kama ulimpenda mtu na aka...
"SOTE TUHAKIKISHE TUNAHUBIRI AMANI" - DKT MWINYI
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt Hussein Mwinyi leo amechukua fomu ya uteuzi kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzi...
KESI YA TUNDU LISSU YAAHIRISHWA, SABABU YATAJWA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia (CHADEMA), Tundu Lissu ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu a...
‘MAHAKAMA YA MAFISADI’ IMEWAHUKUMU KITILYA NA WENZAKE KULIPA BILIONI 1.5
Mahakama Kuu Kitengo cha Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ‘Mahakama ya Mafisadi’ imewahukumu aliyekuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tan...
MAJALIWA APITA BILA KUPINGWA JIMBO LA RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Agosti 25, 2020 ametangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kupitia Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya W...
NEC YAMTEUA TUNDU LISSU KUWA MGOMBEA URAIS WA TANZANIA KUPITIA CHADEMA
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imemteua Tundu Lisuu kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia Chadema na mgombea mwenza, Salum Mwalimu kati...
DADA WA KAZI 'HOUSE GIRL' ATIWA MBARONI JIJINI MWANZA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MTOTO MDOGO WA MWAJIRI WAKE
Mtumishi wa kazi za ndani Ashura Suka (15) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mtoto mdogo wa mwajiri w...
VIDEO: RAIS MAGUFULI AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA URAIS NEC
Leo August 25, 2020 Mwenyekiti wa CCM na Mgombea Urais wa CCM Rais. Dkt. John Pombe Magufuli anarudisha fomu ya kugombea Urais Ofisi za NE...
RAIS MAGUFULI AAGIZA MAGARI 130 YALIYOTAIFISHWA YAGAWANYWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amekagua magari yaliyotaifishwa baada ya kuhusika katika matukio ya ...
MACHO, MASIKIO YAELEKEZWA DODOMA UTEUZI WA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2020
Macho na masikio ya Watanzania wengine yanaelekezwa Jiji la Dodoma kutakakofanyika uteuzi wa wagombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mk...
RPC MKOA WA SINGIDA AFANYA MKUTANO NA VIONGOZI WA DINI KUZUNGUMZIA UCHAGUZI MKUU
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Sweetbert Njewike, akizungumza na viongozi wa dini na wadau wengine (...
NJOMBE: BWENI LA WASICHANA LANUSURIKA KUUNGUA MOTO
Bweni moja la wasichana wa shule ya Sekondari Maguvani halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani NJOMBE limenusurika kuungua moto usiku wa ta...
RAIS MAGUFULI AWASILISHA FEDHA ZA MICHANGO ILIYOTOLEWA KATIKA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA MSIKITI WA CHAMWINO, DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amewasilisha fedha za michango iliyotolewa katika harambee ya k...
WAMILIKI WA NDEGE NDOGO ZISIZO NA RUBANI (DRONES) WAAGIZWA KUZISAJILI TCAA
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewaagiza wamiliki wa ndege ndogo zisizo na rubani (drones) kuhakikisha ndege hizo zimesajiliw...
WAFANYABIASHARA MANYARA TUMIENI FURSA YA MICHEZO KUTANGAZA BIASHARA ZENU
Wafanyabishara mkoani Manyara wametakiwa kutumia fursa ya michezo katika kuutangaza mkoa wa Manyara na biashara zao. Hayo yameelezwa na M...