} });
 

 

Jumaa Kitendo ni kijana mwenye umri wa miaka 19 ambaye anaishi wilayani Korogwe mkoani Tanga, lakini ndoto yake ni kuwa mcheza  mkubwa  wa kikapu Tanzania kwa kutumia urefu alio nao.

 

“ndoto yangu ni kuwa mchezaji mkubwa wa basketball wa kimataifa, kiatu changu ni kikubwa sana nilichukua miaka mitatu kukipata watu wananishangaa sana kutokana na urefu wangu ambao ni futi, nikitaka kusafiri kuna siti zangu mbili, ya dereva au ya  nyuma katikati nikizikosa hizo huwa sisafiri”- Jumaa

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top