} });
 

 

Chama Cha Mapinduzi (CCM), Agosti 20, 2020 kimewapisha watia nia waliopigiwa kura na wajumbe, kugombea Ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika Majimbo mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020hii hapa list ya wagombea Mkoa wa DSM kupitia CCM.

 

DAR ES SALAAM

Ubungo - Prof Kitila Kitila

Kibamba - Issa Jumanne Mtemvu

Kinondoni - Abass Tarimba

Kawe - Askofu Josephat Gwajima

Kigamboni - Dkt. Faustine Ndugulile

Ilala - Mussa Zungu

Segerea - Bonna Kamoli

Ukonga - Jerry Slaa

Temeke - Doroth Kilave

Mbagala - Abdallah Chaurembo

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top