Kijana
Siraphop Masukarat mwenye umri wa miaka 18 kutoka Thailand amejikuta katika
hali mbaya baada ya kuumwa sehemu zake za siri na nyoka akiwa msalani.
Siraphop Masukarat
alikuwa ameketi msalani/chooni huku akitazama video kwenye simu yake Jumanne,
Septemba 8,2020 wakati alipohisi uchungu katika nyeti zake na kukimbizwa
hospitalini ambapo madaktari walipendekeza ashonwe katika nyeti zake.
Akizingumza na Daily
Mail, Siraphot alisema aligundua ameumwa na nyoka huyo baada ya kumuona akiinua
kichwa chake.
“Nilikuwa najisaidia wakati ghafla nilianza kuhisi uchungu kwenye nyeti zangu. Ghafla nilimuona nyoka akiinua kichwa chake. Nilianza kutokwa na damu” Siraphot
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment