} });
 

 

Leo September 29, 2020 Jeshi la Polisi nchini kupitia kwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wametoa onyo kwa Wagombea wa nafasi mbalimbali nchini wakitwataka kufuata utaratibu uliowekwa na Tume ya Uchaguzi “wagombea fateni ratiba ya kampeni iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi”.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top