WANNE MBARONI, TUHUMA ZA MAUAJI YA KIONGOZI UVCCM IRINGA A+ A- Print Email Jeshi la polisi linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za mauaji ya kada wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), ambaye alikuwa mwenyekiti wa Seneti vyuo vikuu mkoa wa Iringa, Emmanuel Mlelwa. soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment