} });
 

ALICHOKISEMA NDAYISHIMIYE BAADA YA JPM KUTEULIWA
ALICHOKISEMA NDAYISHIMIYE BAADA YA JPM KUTEULIWA

Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amempongeza Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli,  baada ya hapo jana ku...

Read more » Soma zaidi »

TWAHA KIDUKU LEO AMPIGA MBABE WA TINAMPAY
TWAHA KIDUKU LEO AMPIGA MBABE WA TINAMPAY

Bondia Mtanzania Twaha Kiduku (28) amefanikiwa kumpiga TKO round ya 7 bondia wa Thailand Sirimongkhon (43) katika pambano lililochezwa uwanj...

Read more » Soma zaidi »

MAGUFULI ASHINDA URAIS, KURA MIL. 12.5
MAGUFULI ASHINDA URAIS, KURA MIL. 12.5

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)  imemtangaza  Dkt. John Pombe Magufuli  wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM)  kuwa mshindi wa kiti cha urais wa Jam...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 31 OKTOBA, 2020
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI 31 OKTOBA, 2020
Read more » Soma zaidi »

OLE SENDEKA ASHINDA UBUNGE SIMANJIRO
OLE SENDEKA ASHINDA UBUNGE SIMANJIRO

Mgombea ubunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara kwa tiketi ya CCM, Christopher Ole Sendeka (Simba wa Manyara) ameibuka kidedea na kwa ku...

Read more » Soma zaidi »

“WANAOPANGA KUANDAMANA, DAR SIO SHAMBA LA BIBI”
“WANAOPANGA KUANDAMANA, DAR SIO SHAMBA LA BIBI”

Kamanda Polisi Kanda Maaalum ya dar es salaam, Lazaro Mambosasa amewaonya wanasiasa walioshindwa chaguzi kwenye mikoa mingine na sasa wanata...

Read more » Soma zaidi »

TAARIFA KUHUSU VAN DIJK IPO HIVI
TAARIFA KUHUSU VAN DIJK IPO HIVI

Klabu ya Liverpool imethibitisha kwamba zoezi la upasuaji wa goti la mlinzi wake Virgil van Dijk limefanyika kwa mafanikio. Mchezaji huyo mw...

Read more » Soma zaidi »

ALABA KUTIMKA BAYERN KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA?
ALABA KUTIMKA BAYERN KABLA YA MSIMU KUMALIZIKA?

David Alaba (Kushoto) akiwa na kocha wake Hans Flick baada ya kutwaa ubingwa wa 8 wa Bundesilga. Mustakabali wa mlinzi David Alaba katika Kl...

Read more » Soma zaidi »

UPINZANI KUPOTEZA MAJIMBO MUHIMU, INAMAANA GANI?
UPINZANI KUPOTEZA MAJIMBO MUHIMU, INAMAANA GANI?

Kushoto ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wa pili ni Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe. Katika mwendelezo wa matokeo ya uch...

Read more » Soma zaidi »

JE, HISTORIA IMEWABEBA MAWAZIRI WA JPM?
JE, HISTORIA IMEWABEBA MAWAZIRI WA JPM?

Pichani ni Wabunge wateule, kushoto ni Mh. Jenista Mhagama (Peramiho), Mh. Ummy Mwalimu (Tanga Mjini), kulia ni Mh Dkt Philip Mpango (Buhigw...

Read more » Soma zaidi »

PARESSO ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA KARATU
PARESSO ASHINDWA UBUNGE JIMBO LA KARATU

Aliyekuwa mbunge wa viti maalum na mgombea ubunge jimbo la Karatu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Cecilia Daniel Pares...

Read more » Soma zaidi »

PROFESA KITILA MKUMBO ASHINDA UBUNGE UBUNGO
PROFESA KITILA MKUMBO ASHINDA UBUNGE UBUNGO

MSIMAMIZI wa uchaguzi jimbo la Ubungo, Beatrice Dominic,  amemtangaza Profesa Kitila Mkumbo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika...

Read more » Soma zaidi »

WAFAHAMU WABUNGE WALIOPITA BILA KUPINGWA
WAFAHAMU WABUNGE WALIOPITA BILA KUPINGWA

WAGOMBEA ubunge 18 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) walioingia katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi hizo walipita bila kupingwa baada y...

Read more » Soma zaidi »

BONNAH KAMOLI ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA UKONGA
BONNAH KAMOLI ATANGAZWA MSHINDI JIMBO LA UKONGA

Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya nje CHADEMA, John Mrema na kulia ni Mbunge mteule wa jimbo la Segerea Bonnah Kamoli Mgombea...

Read more » Soma zaidi »

KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA RAIA WA KENYA
KOCHA MPYA SIMBA HUYU HAPA RAIA WA KENYA

TAARIFA zinasema kuwa, Klabu ya Simba, ipo kwenye mazungumzo na Kocha Abdul Idd Salim raia wa Kenya kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Muharami...

Read more » Soma zaidi »

MALARIA YAMUENDESHA CARLOS CARLINHOS
MALARIA YAMUENDESHA CARLOS CARLINHOS

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos, amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kuteswa na Ugonjwa wa Malaria uliosababisha asiwem...

Read more » Soma zaidi »

LUIS AMVUTA SIMBA LAU HÁ KING WA UD SONGO
LUIS AMVUTA SIMBA LAU HÁ KING WA UD SONGO

I MEFAHAMIKA kuwa, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, ndiye aliyetoa mapendekezo ya usajili wa kiungo mshambuli...

Read more » Soma zaidi »

WIMBI JIPYA MAAMBUKIZI YA CORONA LAIBUKA KENYA
WIMBI JIPYA MAAMBUKIZI YA CORONA LAIBUKA KENYA

WIZARA ya Afya nchini Kenya imeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaofariki kutokana na ugonjwa wa COVID-19 katik...

Read more » Soma zaidi »

UN YATAKA DINI NA IMANI ZOTE ZIHESHIMIWE
UN YATAKA DINI NA IMANI ZOTE ZIHESHIMIWE

MWAKILISHI wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na a...

Read more » Soma zaidi »

CHAMA TAWALA CHASHINDWA KUBADILI KATIBA ZAMBIA
CHAMA TAWALA CHASHINDWA KUBADILI KATIBA ZAMBIA

MUSWADA  tata wa kikatiba ulishindwa kupitishwa bungeni jana Oktoba 29, 2020 kufuatia upinzani mkali kutoka kwa asasi za kiraia na vyama vin...

Read more » Soma zaidi »

WAHAMIAJI 140 WAPOTEZA MAISHA BOTI IKIZAMA
WAHAMIAJI 140 WAPOTEZA MAISHA BOTI IKIZAMA

WATU wapatao 140 wamepoteza maisha baada ya meli iliyokuwa na wahamiaji wapatao 200 kuzama katika pwani ya Senegal.   Katika taarifa yake, O...

Read more » Soma zaidi »

NYUMBA YA MSHINDI WA UBUNGE YANUSURIKA KUCHOMWA MOTO
NYUMBA YA MSHINDI WA UBUNGE YANUSURIKA KUCHOMWA MOTO

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, akizungumza na waandishi wa habari leo. POLISI mkoa wa Shinyanga inafanya uchun...

Read more » Soma zaidi »

MPINZANI ALIYEMWANGUSHA HAWA GHASIA ATOBOA SIRI NZITO
MPINZANI ALIYEMWANGUSHA HAWA GHASIA ATOBOA SIRI NZITO

  MATOKEO ya uchaguzi mkuu  Tanzania  bado yanaendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( NEC ) ambapo mpaka sasa zaidi ya majimbo 20...

Read more » Soma zaidi »

WATATU WAUWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI
WATATU WAUWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI

WATU watatu wamefariki dunia kufuatia shambulio lililotokea katika Mji wa Nice nchini Ufaransa kanisani kwenye ibada ya asubuhi ambalo Rais ...

Read more » Soma zaidi »

WAKAZI ASHINDWA JIMBO LA UKONGA
WAKAZI ASHINDWA JIMBO LA UKONGA

Msanii wa HipHop Webiro Wasira 'Wakazi' ameshindwa kuchukua nafasi ya Ubunge ambalo alikuwa anagombea Jimbo la Ukonga kupitia Chama ...

Read more » Soma zaidi »

NI MHESHIMIWA HAMISI MWINJUMA "MWANA FA"
NI MHESHIMIWA HAMISI MWINJUMA "MWANA FA"

Msanii Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana Fa amefanikiwa kushinda nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Muheza,Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi '...

Read more » Soma zaidi »

KIMEI KURITHI MIKOBA YA MBATIA WA NCCR-MAGEUZI
KIMEI KURITHI MIKOBA YA MBATIA WA NCCR-MAGEUZI

Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Vunjo Michael Mwandezi, amemtangaza aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei, kuwa ndiye...

Read more » Soma zaidi »

CHADEMA YAPATA MBUNGE WA KWANZA
CHADEMA YAPATA MBUNGE WA KWANZA

Aida Khenani, mbunge mteule wa jimbo la Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA. Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nkasi Kaskazini, amemtangaza Aida Kh...

Read more » Soma zaidi »

HALIMA MDEE APOTEZA JIMBO KAWE
HALIMA MDEE APOTEZA JIMBO KAWE

Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima ametangazwa kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 194,833 akifua...

Read more » Soma zaidi »

MAGAZETI YA LEO IJUMAA 30 OKTOBA, 2020
MAGAZETI YA LEO IJUMAA 30 OKTOBA, 2020
Read more » Soma zaidi »

MAELFU WAJITOKEZA KATAMBI AKIWASHUKURU WANANCHI KUMCHAGUA KUWA MBUNGE SHINYANGA MJINI
MAELFU WAJITOKEZA KATAMBI AKIWASHUKURU WANANCHI KUMCHAGUA KUWA MBUNGE SHINYANGA MJINI

Mbunge Mteule wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi (CCM) amewashukuru wananchi wa mkoa wa Shinyanga kwa kumuamini na kumchagua kwa ...

Read more » Soma zaidi »

AHMED SALUM ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI JIMBO LA SOLWA
AHMED SALUM ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI JIMBO LA SOLWA

Mgombea wa Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga Ahmed Salum (CCM) ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Ok...

Read more » Soma zaidi »

DARAJA LA JANGWANI LAFURIKA MAFURIKO
DARAJA LA JANGWANI LAFURIKA MAFURIKO

Baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli zao katika maeneo ya Kariakoo na Posta wameshangazwa na mafuriko ambayo yametokea mchana wa leo katik...

Read more » Soma zaidi »

BREAKING: MWINYI ATANGAZWA MSHINDI URAIS ZANZIBAR
BREAKING: MWINYI ATANGAZWA MSHINDI URAIS ZANZIBAR

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemtangaza Dr.Hussein Mwinyi wa CCM kuwa Rais Mteule wa Zanzibar kwa ushindi wa kura 380,402 sawa ...

Read more » Soma zaidi »

ABBAS TARIMBA ASHINDA UBUNGE KINONDONI
ABBAS TARIMBA ASHINDA UBUNGE KINONDONI

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe, Aron Kagurumjuli amemtangaza mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kinondoni Abass Tarimba ameshi...

Read more » Soma zaidi »

MRISHO GAMBO AMSHINDA LEMA UBUNGE ARUSHA MJINI
MRISHO GAMBO AMSHINDA LEMA UBUNGE ARUSHA MJINI

  Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 82,480 akifu...

Read more » Soma zaidi »

ERICK SHIGONGO ASHINDA UBUNGE BUCHOSA
ERICK SHIGONGO ASHINDA UBUNGE BUCHOSA

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Buchosa, Crispin Luanda leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Cha...

Read more » Soma zaidi »

ZITTO KABWE APOTEZA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI
ZITTO KABWE APOTEZA UBUNGE JIMBO LA KIGOMA MJINI

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng'enda wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata ku...

Read more » Soma zaidi »

ESTER BULAYA ASHINDWA KUTETEA KITI CHA UBUNGE BUNDA MJINI
ESTER BULAYA ASHINDWA KUTETEA KITI CHA UBUNGE BUNDA MJINI

Ester Bulaya ameshindwa kutetea kiti cha ubunge katika jimbo la Bunda Mjini kwa tiketi ya Chadema baada ya kushindwa na mgombea wa CCM, Robe...

Read more » Soma zaidi »

MUSUKUMA ATETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE GEITA
MUSUKUMA ATETEA KITI CHAKE CHA UBUNGE GEITA

Joseph Musukuma wa CCM, ametetea kiti chake cha ubunge jimbo la Geita kwa kupata kura 31, 520 Sawa na asilimia 86.1 ya kura zilizopigwa. Msi...

Read more » Soma zaidi »

UMMY MWALIMU AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA TANGA MJINI
UMMY MWALIMU AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA TANGA MJINI

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Mjini Daud Mayeji amemtangaza Mgombea wa CCM Ummy Mwalimu kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo ...

Read more » Soma zaidi »

MWANAHARAKATI KIJANA ASHTAKIWA HONG KONG KWA KUTAKA KUJITENGA
MWANAHARAKATI KIJANA ASHTAKIWA HONG KONG KWA KUTAKA KUJITENGA

Mwanaharakati wa kutetea demokrasia huko Hong Kong mwenye umri wa miaka 19, ameshtakiwa kwa kosa la kuendeleza harakati za kuutenga mji huo ...

Read more » Soma zaidi »
 
Top