
Wananchi katika kata za Lyowa na Matai wilayani Kalambo mkoani Rukwa wamelaani vikali
kitendo cha mwanamke mmoja ambae hakufahamika jina wala makazi yake kuuawa kisha
mwili wake kutupwa kwenye mtalo ya maji wa mto Chimilango katika mtaa wa Keleni.
Wakiongea mara baada mwili wa mtu mmoja jinsia ya kike kukutwa ukiwa umetupwa kwenye
mtalo wa maji wa mesema wameugundua mwili huo wakati wakifanya usa kwenye mitalo
hiyo.
Mtendaji wa mtaa huo Muhamed Rajabu amesema baada ya mwili huo kupatikana na walitoa
taarifa polisi ambao walika na kuruhusu mazishi kufanyika.
Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya Matai Dk Edwin Mlingi, amesema wanaendelea na
uchunguzi ili kubaini chanzo cha tukio hilo.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment