} });
 


HASSAN SELEMAN wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameshinda ubunge Mtwara Mjini kwa kupata kura 22,411 akifuatiwa na mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF), Abdallah Nachuma aliyepata kura 13,586. Hassani Abdallah wa Chama cha ACT-Wazalendo amepata kura 1,113.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top