} });
 

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Monduli amemtangaza Fredrick Lowassa wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo kwa kupata kura 72,502 sawa na asilimia 93.23% akifuatiwa na Cessilia Ndossi wa CHADEMA aliyepata kura 4,637 sawa na asilimia 5.96%, Chogga wa ACT 485 sawa asilimia 0.62% na Kijuu NRA 145 sawa asilimia 0.19%.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top