} });
 

 

Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu amepata ajali ya gari kwenye Jimbo la Nanyamba Mkoani Mtwara ambako alikwenda kumnadi Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo Colleta Kadinda, Ado ametoka salama kwenye ajali hiyo.

Ado Shaibu licha ya kuwa Katibu Mkuu wa ACT pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia ticket ya ACT.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top