} });
 

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kupokea na kutangaza matokeo ya kura za urais zilizopigwa jana Oktoba 28, 2020.

Mkoa wa Njombe

Jimbo la Njombe Mjini

Walioandikishwa kupiga kura – 96686
Waliopiga kura – 36,343
Kura halali – 35674
Kura zilizokataliwa 669

Matokeo

Dkt. John Pombe Magufuli (CCM) – 30134
Mahona NRA – 138
Shibuda ADA Tadea – 62
Mutamwega SAU – 10
Mmanga Demokrasia Makini – 39
Maganja – NCCR 38
Lipumba CUF – 6
Fumbo DP – 19
Membe ACT – 13
Queen ADC – 14
Twalib – UPDP – 9
Rungwe – Chauma – 45
Mazrui – UMD – 3
Seif Maalim – AFP – 6
Lissu – 5138

 

Mkoa wa Katavi
Jimbo la Nsimbo
Walioandikishwa kupiga kura 80474
Waliopiga kura 53352
Kura halali – 52881
Kura zilizokataliwa 480

Dkt. John Pombe Magufuli (CCM) – 50327
Mahona NRA – 143
Shibuda ADA Tadea – 57
Mutamwega SAU – 13
Mmanga Demokrasia Makini – 27
Maganja Yeremnia Kulwa – NCCR 16
Lipumba CUF – 25
Philipo John Fumbo DP – 11
Membe benard Kamilius ACT – 36
Queen Sendiga ADC – 08
Twalib kadege – UPDP – 6
Hashim Rungwe Spunda – Chauma – 60
Mazrui Alfan Mohammed – UMD – 6
Seif Maalim Seif – AFP – 2
Tundu Antipas Lissu – 2141

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top