} });
 

 

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akipiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 28, 2020.

Mama Mary Majaliwa, Mke wa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akihakiki kadi yake ya kupigia kura kwa  Msimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Shadia Ibrahim (kushoto)   kabla ya kupiga kura kituoni hapo Oktoba 28, 2020.

Mama Mary Majaliwa, Mke wa Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  akipiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 28, 2020.

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (aliyesimama mbele yake) wakiwa wamejipanga kusubiri zamu yao ya kugia katika Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi Nandagala wilayani Ruangwa, Oktoba 28, 2020.

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kupiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Shule ya Msingi ya Nandagala wilayani Ruangwa.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top