} });
 


Zikiwa zimesalia siku nane kufikia October 28, 2020 siku ya kupiga kura, nakupa good news kwamba kama utakuwa hauna kitambulisho cha kupigia kura na ulijiandikisha kupiga kura basi unaweza kutumia Kitambulisho cha Taifa, Passport, au Leseni ya udereva kupigia kura katika kituo ulichojiandikisha.

Taarifa hiyo imetolewa na Tume ya Uchaguzi kupitia ukurasa wao wa twitter na mpiga kura inatakiwa jina alilojiandikisha nalo kupigia kura lifanane na lililopo kwenye Passport, Leseni, au Kitambulisho cha NIDA.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top