} });
 

Club ya Mbeya City ya Mbeya mara baada ta kupoteza mchezo wake wa leo (jana) 2-1 dhidi ya Mwadui FC mkoani Shinyanga imemfuta kazi rasmi kocha wao Mkuu Amri Said.

Mbeya City hadi wanafikia uamuzi huo usiku huu wapo nafasi ya mwisho katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2020/21 wakiwa na point 2 na hawajawahi kushinda katika mechi zao zote 7 walizocheza.

Hata hivyo Mbeya City wamechukua tahadhari mapema baada ya msimh uliopita kunusuruka kushuka daraja, hivyo uingozi chini ya mtendaji wao mkuu Mr Kimbe wameamua kuchukua tahadhari mapema.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top