
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara imemkamata
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Orkiti wilaya ya Kiteto Bw.Oscar Malui kwa kushiriki kufanya udanganyifu kwenye mitihani ya darasa la saba baada ya kuwalazimisha wanafunzi wawili wa
darasa la sita kuwafanyia mitihani wanafunzi wenzao wa darasa la saba kwa kigezo cha
wanafunzi hao kuwa na uelewa mdogo.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment