
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoani Manyara (TAKUKURU) inamshikilia
mmiliki wa mashamba makubwa kwa kutowalipa wafanyakazi wake mishahara kwa miezi 11
ambao wamekua wakifanya kazi tangu novemba 2019 hadi Oktoba mwaka huu.
Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Manyara akizungumza na wanahabari amesema kuwa
wamemkata mmliki huyo anayefahamika kwa jina la Thomas Meliyo baada ya kupokea
malalamiko kutoka kwa wafanyakazi wake.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment