} });
 

Mwanafunzi aliyehitimu Darasa la Saba Shule ya Msingi Msimbati Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Mkoani Mtwara Asma Saudi Alawi ameandika ujumbe mzito kwa Walimu wake Mara tu baada ya kumaliza mtihani wake wa Darasa la Saba.

Asma amesikitishwa na baadhi ya wanafunzi wenzake ambao hawakuwa tayari kusoma huku walimu wakijitoa kwa moyo wao wa kufundisha masomo darasani


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top