
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa
vyama vya siasa kutoka kutoka tarehe 21 hadi tarehe 23 Oktoba 2020.
Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya
Uchanguzi Dkt.Wilson Mahera amesema miongoni mwa sababu za kuongezwa kwa muda ni
pamoja Jiograa ya baadhi ya maeneo kuwa na changamoto ya kukika kwa urahisi.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment