} });
 


Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Njombe Mjini amemtangaza Deodatus Mwanyika wa Chama Cha Mapinduzi kuwa mshindi wa ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 29,553 akifuatiwa na mshindani wake Emmanuel Masonga (CHADEMA) akipata kura 5,940.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top