Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini, Mkoani Shinyanga
amemtangaza Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 31,831
akifuatiwa na Salome Makamba wa Chadema ambaye amepata kura 19,608
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment