} });
 

KLABU ya Simba imewafuta kazi Mwarami Mohamed (kocha wa magolikipa) na Patrick Rweyemamu (meneja wa timu) kutokana na matokeo mabaya katika mechi mbili zilizopita.

 

Lakini haikuishia hapo, imewafuta kazi pia vijana wawili, Ally Shatry ‘Bab Chico’ na Jacob ambao walikuwa kwenye kitengo cha habari cha klabu hiyo. Wawili hao wamefutwa kazi kwa kinachoelezwa kuwa karibu na CEO wao wa zamani, Senzo Mazingiza.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top