} });
 


Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imetoa ratiba mpya ya mzunguuko wa sita, saba na nane, kufuatia mizunguuko hiyo kuingiliana na kalenda ya michezo ya kimataifa ambayo ipo chini ya Shirikisho la kandanda barani Afrika *CAF* na lile la Dunia FIFA.

Bodi ya Ligi imelazimika kufanya mabadiliko hayo, ikiwa ni pamoja na mchezo wa Young Africans na Simba SC ambao umesongezwa mbele hadi Novemba 07, badala ya Oktoba 18.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top